kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

nandy - sugar كلمات أغنية

Loading...

[intro]
ooooooh
the african princess
mmmmh
s2kizzy baby

[verse 1]
siku kama hizi
tuliziona ndotoni tu, ndotoni tu
kidogo siku hizi
na sisi tuna nafuu, tana nafuu

[pre chorus]
kichwani siko sawa, akili sina
moyoni siko sawa, ni lako jina
na penzi liwe dawa, nipone mazima
niwe sawa mzima mzima

[chorus]
oh sugar
ni tamu asali
ni tamu hatari
ni tamu sana
oh sugar
ni tamu asali
ni tamu hatari
ni tamu sana
oh sugar
ni tamu asali
ni tamu hatari
ni tamu sana
[verse 2]
shida sio mimi, shida sio wewe
shida ni moyo w_ngu
shida sio wale, shida sio kule
shida ni moyo w_ngu

[pre chorus]
kichwani siko sawa, akili sina
moyoni siko sawa, ni lako jina
na penzi liwe dawa, nipone mazima
niwe sawa mzima mzima

[chorus]
oh sugar
ni tamu asali
ni tamu hatari
ni tamu sana
oh sugar
ni tamu asali
ni tamu hatari
ni tamu sana
oh sugar (sugar)
ni tamu asali (sugar)
ni tamu hatari (sugar)
ni tamu sana (sugar)
oh sugar (sugar)
ni tamu asali (sugar)
ni tamu hatari (sugar)
ni tamu sana (sugar)

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغنية الشائعة حالياً

Loading...