kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

nandy - nipo naye كلمات أغنية

Loading...

[verse 1]
asante baba kwa kuikata kiu yangu
nimekuwa shahidi, shahidi nimeuona ukuu wako
imani haba umeitoa ndani yangu
umekuwa mfariji, mfariji tena mshauri w_ngu
umerudisha tumaini langu wajua (baba eeh)
wanilinda kila nikipiga hatua

[pre chorus]
tena umeondoa fedheha na mashaka yote
pia umenitua mizigo hujaniacha mpweke

[chorus]
(hajaniacha) nipo naye
nipo na yesu
(baba) nipo naye
ah baba
hajaniacha, nipo naye
nipo na yesu
(baba) nipo naye

[verse 2]
naelewa fikra kuna kutabasamu na kulia
mengi umeniepusha mengine hata sikutarajia
pale nilipolia ulinifuta chozi na ukanishikilia
umenitoa hatia, umenivika taji leo nafurahia
[pre chorus]
tena umeondoa fedheha na mashaka yote
pia umenitua mizigo hujaniacha mpweke

[chorus]
(hajaniacha) nipo naye
nipo na yesu
(baba) nipo nayе
ah baba
(hajaniacha) nipo naye
nipo na yesu
(baba) nipo naye
mmh

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغنية الشائعة حالياً

Loading...