
nandy - new couple lyrics
ningependa sana kuona vanessa na jux
mara ghafla ikatokea nuksi
sikuona tena wakatengana
aslay nilizoea k_muona na tesi
katokea mazito sio mepesi
wakapendana tena
nilitegemea k_muona harmo na sara wakiendelea
mambo yamebadilika namwona kajala nawaombea
mlitegemea kusah na ruby wakiendelea
mambo yamebadilika namwona aunt ezekiel
watoto wanamlea
ahaa, new couple
kila siku inazuka new couple
ahaa, new couple
kila siku inazuka new couple
nilikuwa nice couple
harusini ningekuja na zawadi ningetoa
eti queen darleen wamwonea wivu wa nini?
ukiwa mke wa pili jiamini
eti mani na esma mambo mmeyamaliza
inamkera mziza, no no no
mlitegemea kuniona mimi na nenga tukiendelea
mambo yamebadilika na simwoni tena
ila namwombea
mlitegemea fahima na ray
mambo yamebadilika yaliyotokea sisemi
ahaa, new couple
kila siku inazuka new couple
ahaa, new couple
kila siku inazuka new couple
(the mix k!ller)
kila siku inazuka new couple
it’s all about love
Random Lyrics
- tim kamrad - help you out lyrics
- the tellers - this world lyrics
- logan smith - the thought of you lyrics
- shiny toy guns - you are the one (adam freeland loud mix) lyrics
- cody justin - check this out lyrics
- elysa - silence the sirens lyrics
- shaarksz - weird kawaii nightcore futuristic plug lyrics
- scorpion zen - scorpion zen lyrics
- xr8ted - yxur dead lyrics
- sehabe - anla lyrics