kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

nandy - kufuli كلمات أغنية

Loading...

{intro]
chu chu chu, chukua
chu chu chu
chu chu chu
chu chu chu, chukua
chu chu chu

[verse 1 : nandy]
eiiiiii
nakupenda unajua baby
usinifanye vibaya, mwenzako ntaumia
eiiiiii
nakupenda unajua baby
usinifanye vibaya, mwenzako ntaumia
usinimix na viswaswadu, utanidhalilisha
mi sio level zao zao, utanika sirisha
aku mi sipendi tabu, utaniha ngaisha
mi sio level zao zao, utanika sirisha
aaahhh eeeeeeh
eeh eeeh eeeeh
zipu weka kufuli, kufuli tia kufuli, kufuli aaahh shuuu

[chorus : nandy]
weeeh, waaa chaaa
kwichi chichichii
wacha cha chacha
kruuu kwichi kwichi
wachaaa, weeeeh, wachaaa
kwichi chichichii
wacha cha chacha
kruuu kwichi kwichi
wachaaa
kwichi chichichii
wacha cha chacha
t boy daflame

[verse 2 : marioo]
aah shiii
aaah baby mi nikipenda nakera
wivu w_ngu unaboa
usinifanye vibaya, mwenzako ntaumia
baby mi nikipenda nakera
wivu w_ngu unaboa
usinifanye vibaya, mwenzako ntaumia
basi nipe yote, kisibaki kiporo
aahh tukeshe wote
yani mpaka tomorrow oooh, nipe vyote
supu mpaka kongoro, aaah kote kote
mpaka kwenye uchochoro, chochoro chochoro

[chorus : nandy]
weeeh, waaa chaaa
kwichi chichichii
wacha cha chacha
kruuu kwichi kwichi
wachaaa, weeeeh, wachaaa
kwichi chichichii
wacha cha chacha
kruuu kwichi kwichi
wachaaa
kwichi chichichii
wacha cha chacha
[outro]
chu chu chu, chukua
chu chu chu
chu chu chu
chu chu chu, chukua
chu chu chu

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغنية الشائعة حالياً

Loading...