
nandy - kongoro lyrics
umepoteza usikivuu haunisikizi tenaa
nani kakuaribu mbona gafla kulizanaa
wanuna bila sababu waniona me mtwanaa
ukiwa nami wajifanya bubu kutesanaa
mapenzi hayana ubia soko uria
kuamisha muamala
mbwembwe zimeniishia mkufu bandia
mazao yameungua
my baby, hayana ubia soko uria
kuamisha muamala
mbwembwe zimeniishia mkufu bandia
mmazao yameungua
heri imogizani (nitabaki kongoro)
sioni sababu (mwili wabaki kongoro)
inayofanya uniumizee (nitabaki kongoro)
unanipa tabuu (mwili wabaki kongoro)
kisa upendo unilizee (nitabaki kongoro)
sioni sababuu (mwili wabaki kongoro)
inayofanya uniumizee (nitabaki kongoro)
unanipa tabuu (mwili wabaki kongoro)
kisa upendo uniuliziee
eeeheeh, looohoh, eeeh…
upendo wa dhati unaning’inia
afueni sipati ninaishilia
weka hisabati na kukotoa
ila jibu sipati nandomepotea
j-po nafsi inapinga ngumu yako kaulii
sikubali kushindwa ndani nyingi dosari
kila siku kunipa kuniona fedhuli mimi
fedhuli mimi, mapenzi
mapenzi hayana ubia soko uria
kuamisha muamala
mbwembwe zimeniishia mkufu bandia
mazao yameungua
my baby, hayana ubia soko uria
kuamisha muamala
mbwembwe zimeniishia mkufu bandia
mmazao yameungua
heri imogizani (nitabaki kongoro)
sioni sababu (mwili wabaki kongoro)
inayofanya uniumizee (nitabaki kongoro)
unanipa tabuu (mwili wabaki kongoro)
kisa upendo unilizee (nitabaki kongoro)
sioni sababuu (mwili wabaki kongoro)
inayofanya uniumizee (nitabaki kongoro)
unanipa tabuu (mwili wabaki kongoro)
kisa upendo uniuliziee
eeeheeh, noooo, eeeh…
Random Lyrics
- a very potter musical - gotta get back to howgarts part 1 lyrics
- doctork - dark dark everywhere no light to see lyrics
- daddysmilk - susie lyrics
- alejandro sanz - la margarita dijo no lyrics
- robin bengtsson - another lover's gone lyrics
- alejandro sanz - hoy que no estas lyrics
- alejandro sanz - la fuerza del corazon lyrics
- willet - virus lyrics
- considering lily - cup lyrics
- chris brown - back to back lyrics