
nande boyz - safari كلمات أغنية
(verse 1)
(lbk nandeboy)
maisha ni safari isiyo na tafsiri, (ya kesho siri)
usi mdharau mtu leo
kwani haujuwi kama kesho yake ita kuwa jje, (ya kesho siri)
if you’re not some body today
if you’re not somebody today ya kesho siri
(pakii)
safari ni ndefu yenye changamoto nyingi
wazuri wachache ila wabaya ndio wengi
unajiuliza maswali maswali maswali
utapanjika jama
wenzako wa fikiria ya kesho we wa rudiliya ya jana eeeh eeeh eeeh
(hook)
safari safari safari safari
safari safari safari safari
(verse 2)
tenda wema nenda zako usitamaniye vya watu
pambaniya vyako hii maisha iko compliqué
na hii safari hai hitaji watu kupigana au ku korofiana, (maisha) safari kuna kupanda na kushuka
hii maisha safari ukianguka pambana we inuka, (maisha safari) kuna kupanda na kushuka
zala na mbangu te kanga motema to kende
(hook)
safari safari safari safari
safari safari safari safari
(bridge )
if you’re not some body today if you’re not somebody today maisha safari kuna kupanda na kushuka ya kesho siri
maisha safari kuna kupanda na kushuka ya kesho siri
(hook)
safari safari safari safari
safari safari safari safari
كلمات أغنية عشوائية
- twinklemusic - balmain كلمات أغنية
- cumbia ninja - la tercera es la perdida كلمات أغنية
- gianni nazzaro - bianchi cristalli sereni كلمات أغنية
- esgazette - we live on a rock كلمات أغنية
- acht eimer hühnerherzen - händy كلمات أغنية
- winner - don’t be shy (japanese ver.) كلمات أغنية
- jeffrey lorne - alone at christmas كلمات أغنية
- istasha - happy cyborg كلمات أغنية
- chxnge - oasis كلمات أغنية
- jxylen - still here كلمات أغنية