naipa - my logo (feat. neylah) كلمات الأغنية
mhhh
ahhahha
mhh
we waambie tu
mhhhh
yaani kwako watangoja
maneno nguvu ya soda
wafungue group tuwape picha wapost
ohh yeye
inama nikupe charge uchomeke
acha simu ijae
waambie wamoyo kaja wakukome
moto waotee mbali
kigoma mwisho wa leli
nachetu kibesikeli
taratibu tutafikaa
anhaaa
atake nini akose (akose)
nilete kuni moto niwashe (aote)
ati nishakupa moyo upakate (enhee)
lete chanda nikuvishe na pete
vimbaa (mhhhh)
ruksa waachane kifua chaangu
(kifua changu)
wapasue na moyo w_ngu
(namoyo w_ngu)
wanipime na damu yangu
(na damu yangu)
watakuta sura yako
(kisuraanha)
herufi ya kwanza kwenye jina laako
my logo
my logogooo
my logo
my logogogo
my logo
my logogo
my logo
my logo gogo
hallow ohhh darling
huko uliko vipi hali
usiku uje na banana
(ama asali)
tupate dinner
pilika zako mchoko mchoko
mi wako dakitari
nisha weka maji ya moto moto
nikukande kidari
nisha kupa moyo uupakate
(enhee)
lete chanda nikuvishe na pete
ruksa waachane kifua changu
(kifua changu)
wapasue na moyo w_ngu
(na moyo w_ngu)
wanipime na damu yangu
(na damu yangu)
watakuta sura yako
ohhohho
mambo rote rote
aste aste
kuch kuch
hota hae
nitinge suti
sheria nivae
ndoa tufunge
washangae
riziki we ndo fungu langu
itunze heshima yangu
tia lock wasichezee
ohh ohh
herufi ya kwanza kwenye jina lako
my logo
my logo go
my logo
my logo gogo
my logo
my logogo
my logo
my logogogo
كلمات أغنية عشوائية
- david allan coe - just divorced كلمات الأغنية
- david allan coe - just to prove my love for you كلمات الأغنية
- david allan coe - just to prove my love to you كلمات الأغنية
- david allan coe - laid back and wasted كلمات الأغنية
- david allan coe - lately i've been thinking too much lately كلمات الأغنية
- david allan coe - little orphan annie كلمات الأغنية
- david allan coe - little suzzie shallow throat كلمات الأغنية
- david allan coe - london homesick blues كلمات الأغنية
- david allan coe - living on the run كلمات الأغنية
- david allan coe - loneliness in ruby's eyes كلمات الأغنية