naima mohammed - nimechoka maumivu كلمات الأغنية
#intro
asante omary teggo kwa hii
#hook
lalalaaa lalalaaa
#chorus
kama ni ustahimilivu nimefanya sana mie
nimechoka maumivu bora ngazi niachiee
kama ni ustahimilivu nimefanya sana mie
nimechoka maumivu bora ngazi niachiee
nitakuja bure kufaa tamu ya mapenzi sionii
moyo umeweka ufaa wakuuziba ni nani!?
nitakuja bure kufaa tamu ya mapenzi sionii
moyo umeweka ufaa wakuuziba ni nani!?
#verse 1
mapenzi yana wenyewe saizi wanaenjoy
kwa upande w_ngu mie sijawai kufurahi
mapenzi yana wenyewe saizi wanaenjoy
kwa upande w_ngu mie sijawai kufurahi
nilijua mapenzi hijabu vazi lenye kustiri
k_mbe ni kinyume chake
k_mbe nguo isiyo na adabu
mwezenu imeniadhiri nimeshindwa vazi lakee
kila ninavyojaribuu yangu hayaendi sahari
mapеnzi kitu cha ajabu nashindwa kukitafsiri
kila ninavyojaribuu yangu hayaendi sahari
mapenzi kitu cha ajabu nashindwa kukitafsiri
ni kweli nimеgundua kwenye mapenzi sina bahati
basi mola jaalia nipate w_ngu comfort
#verse2
ooohhh
wenzangu wanakula asali kula asali raha zote penzini
kw_ngu mimi nishubiri ,heka heka kama vile nipo vitani
wenzangu wanakula asali asali raha zote penzini
kw_ngu mimi nishubiri ,heka heka kama vile nipo vitani
mapenzi hayanikubali hata sijui kwanini
najiuliza maswali kuna mkono wa nani
ohh nateseka mwezenu kwanini kila siku mimi
ohh nioneni huruma aah nina moyo na mimi
umechoka mtima na akili mayo sisemi
kuumizwa kunauma kama mandonga ma ngumi
umechoka mtima na akili mayo sisemi
kuumizwa kunauma kama mandonga ma ngumi
bora ni enjoy maisha mafupi ni simple
yanimi niteseke rohoo jiunge nami upooze koo
bora ni enjoy maisha mafupi ni simple
yanimi niteseke rohoo jiunge nami upooze koo
#intrumental
#outro
una shape gani wewe unashape gani
hata ujashue mbele za watu
(unashape gani shape yako haivai taiti)
una pua gani wewe unapua gani
hata ujishaue mbele za watu
(una pua gani pua yako haivai kipini)
una shoga gani wewe una shoga gani
hata ujishaue mbele za watu
(una shoga gani shoga yako anakusengenyaa )
una sura gani wewe una sura gani
hata ujishaue mbele za watuu
(una sura gani sura yako haikai podaa)
كلمات أغنية عشوائية
- rema - now i know كلمات الأغنية
- mimi gilbert - taught to build walls كلمات الأغنية
- querbeat - ok ciao كلمات الأغنية
- dire peril - my vengeance is everything (chaos reigns) كلمات الأغنية
- la banda del capitán canalla - a por ellos كلمات الأغنية
- snoi - улыбок (smiles) كلمات الأغنية
- jain - nobody knows كلمات الأغنية
- fr1zeon - ювелир 2 pt.2 (jeweler 2 pt. 2) كلمات الأغنية
- wenu - 꼭 만나러 갈게 (i’ll definitely come to meet you) كلمات الأغنية
- maka - gracias a dios كلمات الأغنية