kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

naiboi - somaga كلمات الأغنية

Loading...

aaah woi yoyo
yeyeye lelelele yoyoyo
ooh when am with you
now you are busy on your phone
ooh when am with you
now you are busy on your phone
zako ma whatsapp,zako ma insta
nikituma ka dm, zangu unapita
nasema zako ma whatsapp, na zako ma insta
nikisuk_ma ka dm, zangu unapita

girl,wewe bana
wewe ah wewe nishakusomaga
wewe bana
wewe ah wewe nishakusomaga
wewe bana
wewe ah wewe nishakusomaga
wewe bana
wewe ah wewe nishakusomaga
ooh, when you are on your phone
i loose my composure
ka jealousy kanaaza kunichocha
na loose my mind, na loose control
kisiri naumia roho
na ukishika simu mimi nakuudhigi on the low
na nikizusha unanuna nuna
tena unanuna sana
oooh unaanza kuzusha zusha
hauna huruma bana
ooh when am with you
now you are busy on your phone
ooh when am with you
now you are busy on your phone
zako ma whatsapp,zako ma insta
nikituma ka dm, zangu unapita
nasema zako ma whatsapp, na zako ma insta
nikisuk_ma ka dm, zangu unapita
girl,wewe bana
wewe ah wewe nishakusomaga
wewe bana
wewe ah wewe nishakusomaga
wewe bana
wewe ah wewe nishakusomaga
wewe bana
wewe ah wewe nishakusomaga
mimi si number 2
am always there for you
so put your phone down
coz beiby am vibing with you
you can have my passcode
ooh beiby give me yours
una chat noma (ah uh)
waleta za kunitoka wewe
basi beba mzigo(yeah yeah yeah)
hapa duniani ni malipo(yeh yeh yeh)
twende kwa disco (yeh yeh yeh)
tukacheze calypso (uh uh)
come slowly, whine for me
usilete noma usijae ngori
come slowly, whine for me
usilete noma usijae ngori
ooh when am with you
now you are busy on your phone
ooh when am with you
now you are busy on your phone
zako ma whatsapp,zako ma insta
nikituma ka dm, zangu unapita
nasema zako ma whatsapp, na zako ma insta
nikisuk_ma ka dm, zangu unapita
girl,wewe bana
wewe ah wewe nishakusomaga
wewe bana
wewe ah wewe nishakusomaga
wewe bana
wewe ah wewe nishakusomaga
wewe bana
wewe ah wewe nishakusomaga

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...