naiboi - slidin lyrics
umebeba size yako
umebeba hauna presha
unatuliza roho
hata nitoe roho
na we ni mtoto wa kariokor
njoo tutese ungwaro
nafeel kama nimefall
ikam na sijiwezi no
nafeel kama nimefall
ikam na sijiwezi no
nimeteleza (slidin slidin, slidin slidin)
nimeteleza (slidin slidin, slidin slidin)
nimeteleza (slidin slidin, slidin slidin)
nimeteleza (slidin slidin, slidin slidin)
alete tuweke tutese
ah naiboi daily ni mimi na wewe
alete tuweke tutese
ah naiboi daily ni mimi na wewe
mtoto vеry sweet ka kuku za sanford
huhitaji sauce wala salt nayo nayo
kwanza ukiwa moshi na yako kamnyweso
hatuna though oh no no till they brеak or dawn
nafeel kama nimefall
ikam na sijiwezi no
nafeel kama nimefall
ikam na sijiwezi no
nimeteleza (slidin slidin, slidin slidin)
nimeteleza (slidin slidin, slidin slidin)
nimeteleza (slidin slidin, slidin slidin)
nimeteleza (slidin slidin, slidin slidin)
alete tuweke tutese
ah naiboi daily ni mimi na wewe
alete tuweke tutese
ah naiboi daily ni mimi na wewe
nafeel kama nimefall
ikam na sijiwezi no
nafeel kama nimefall
ikam na sijiwezi no
nimeteleza (slidin slidin, slidin slidin)
nimeteleza (slidin slidin, slidin slidin)
nimeteleza (slidin slidin, slidin slidin)
nimeteleza (slidin slidin, slidin slidin)
Random Lyrics
- dylan brewer - daniel bennett (afghan dan reply) lyrics
- pruzzkid (ua) - дивосвіт lyrics
- beatkid - vs. shliiwa - [rr 16tel-finale - vbt 2015] lyrics
- justin friello - worship you lyrics
- en?gma - manifesto lyrics
- snk (russia) - babybrokelove lyrics
- fades - wasted lyrics
- pierce elliott - effort lyrics
- mcm - know it lyrics
- paul damixie - get lost lyrics