
naiboi - pesa كلمات أغنية
ah naiboi ah
mna mambo kweli
kwani boss
(vicky pon dis)
tega sikio nikwambie aah
fungua mlango niingie aah
mambo flani unifanyie aah
nami pia nijiskie aah
kama mapenzi ni pesa, ungesema mapema
hata kama nitakosa ju yako nitakopa
kama mapenzi ni pesa, ungesema mapema
hata kama nitakosa ju yako nitakopa
uhh! niambie niambie
niambie niambie niambie eeh
oh niskie niskie
niskie niskie niskie eeh
kama mapenzi ni pesa, ungesema mapema
hata kama nitakosa ju yako nitakopa
kama mapenzi ni pesa, ungesema mapema
hata kama nitakosa ju yako nitakopa
shika kiti nipe dance eeh
shika kiti nipe dance eeh
shika kiti nipe dance eeh
shika kiti nipе dance eeh
shika kiti nipe dance eeh
shika kiti nipе dance eeh
shika kiti nipe dance eeh
shika kiti nipe dance eeh
tega sikio nikwambie aah
fungua mlango niingie aah
mambo flani unifanyie aah
nami pia nijiskie aah
kama mapenzi ni pesa, sema mapema
hata kama nitakosa ju yako nitakopa
kama mapenzi ni pesa, ungesema mapema
hata kama nitakosa ju yako nitakopa
shika kiti nipe dance eeh
shika kiti nipe dance eeh
shika kiti nipe dance eeh
shika kiti nipe dance eeh
shika kiti nipe dance eeh
shika kiti nipe dance eeh
shika kiti nipe dance eeh
shika kiti nipe dance eeh
كلمات أغنية عشوائية
- alzira e - receita rápida كلمات أغنية
- aaron abernathy - the villain in me كلمات أغنية
- bayan modir - crazy كلمات أغنية
- andrea lo vecchio - lei che passa a prendermi كلمات أغنية
- santamaria - em preto e branco كلمات أغنية
- nipsey hussle - on tha blocc كلمات أغنية
- christine lavin - good thing she can't read my mind: a dude's eye view كلمات أغنية
- rico snchez & absolute terror - juicyjismyfather كلمات أغنية
- the thought - kill bill (gesaffelstein remix) كلمات أغنية
- vasco (korea) - 40 كلمات أغنية