
naiboi - mmoja كلمات أغنية
shakorobo, shakorobo
shakorobo, sha sha
shakorobo, shakorobo
shakorobo, sha sha
nishamtamani mmoja, nishamwonaga mmoja
nishamtakanga mmoja, now is it you?
nishamtamani mmoja, nishamwonaga mmoja
nishamtakanga mmoja, now is it you?
umbo nzuri na tabia, na sura unavutia
michombizo mara mia, now what to do ooh
kama salon nagharamia, ka ni ndae nanunua
mishe mishe anachangia now what to do?
na basi pole pole twende mami
nikujue ndani ndani
mahaba take over mi
tuwatoke kina nani
na basi pole pole twende mami
nikujue ndani ndani
mahaba take over mi
tuwatoke kina nani
nishamtamani mmoja, nishamwonaga mmoja
nishamtakanga mmoja, now is it you?
nishamtamani mmoja, nishamwonaga mmoja
nishamtakanga mmoja, now is it you?
shakorobo, shakorobo
shakorobo, sha sha
shakorobo, shakorobo
shakorobo, sha sha
kinoma tu, oooh nikatulia
nawewe tu, oooh nitafurahia
eeh, upendo w_ngu hauna kifani dada
nipokee nikuweke ndani dada
siri zetu zibaki ndani dada
dance for me and you
na sitachoka, kukupa utakacho
wewe na mie, pamoja mpaka kifo
na usichoke kunipa moyo wako
tuwe pamoja mpaka siku ya mwisho
nishamtamani mmoja, nishamwonaga mmoja
nishamtakanga mmoja, now is it you?
nishamtamani mmoja, nishamwonaga mmoja
nishamtakanga mmoja, now is it you?
shakorobo, shakorobo
shakorobo, sha sha
shakorobo, shakorobo
shakorobo, sha sha
oooh oooh oooh
eeh eeh
كلمات أغنية عشوائية
- good with grenades - take it from me (demo) كلمات أغنية
- pristin - 티나 (tina) كلمات أغنية
- chima ede - cash out كلمات أغنية
- jalopy bungus - cut the rope كلمات أغنية
- tessanne chin - are yah gonna (control) كلمات أغنية
- dsillydude - thrift-shop remix كلمات أغنية
- calix (philippines) - ugat كلمات أغنية
- (sandy) alex g - i wait for you كلمات أغنية
- og jamie - by myself كلمات أغنية
- the james arthur project - holding on (acoustic) كلمات أغنية