kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

naiboi and nyashinski - black كلمات الأغنية

Loading...

[verse:1] nyashinski

yeah
unacheki superhero on a mission yeah
black on black looking like a billionaire
game ninayo mobingine free nawapea
i know its impossible to really not stare
spend weekend mzima kaa simu iko mteja
flow ya kukfanya useme shin come tena
tom ford inakuja na breeze unaismell
imemix na shash but you really can’t tell..
black ju chini
window nilitint kabla uhamie mjini
ni ngumu uresist chizi fly kaa mimi
[before unitrust we niambie itatake nini]
sibadiliki
melanin ju chini hakuna bleaching
black is beautiful hiyo ndo teaching
geuza thinking
ni ma_king tu na maqueen

chorus
squad yote mpaka dj black
juu ya kw_ng ongeza tire black
compettion naicheki kwa kioo
vako yake pia ni back on black
miichael jackson black
bank account on black
spend my cash on black
and her ass on black
compettion naicheki kwa kioo
vako yake pia ni back on black
[verse:2] naiboi

boyz club tume dunga ma ope na nyonginyo
tuko moshi i swear siwezi tell pali tuko
tuko setere sese mchezore zeze
run hii sh_t yani mobuture sese
(mmh)
switch bank what a champe does
ndani ya ring nima headi zinedine zidane
na ata letewa ile kitu minadai ime vai
wakikata maji miniko divai na gethai

ka theres a will theres a way n_ggas nje ya ndoa
nshawashuku hawa nyoka saa niku wa dondoa
nauezi hepa lugha yangu vile na roroa
so nipe standing ovation vile na kaa poa

nime dunga black ndani ya g wagon again
and black model and her friend
chupa ni black
tags intact kwa swag
nasumbua ka kibeti ya kyallo

chorus
squad yote mpaka dj black
juu ya kw_ng ongeza tire black
compettion naicheki kwa kioo
vako yake pia ni back on black
miichael jackson black
bank account on black
spend my cash on black
and her ass on black
compettion naicheki kwa kioo
vako yake pia ni back on black
naiboi
[bridge] am the one
number one
super hero
super man
your my lady
your the one
kuja hivo
usi turn

[bridge] nyashinski

unacheki superhero on a mission yea
black on black looking like a billionaire
game ninayo mingi ingine free nawapea
si na hao tafadhali usicompare

unacheki superhero on a mission yea
black on black looking like a billionaire
game ninayo mingi ingine free nawapea
si na hao tafadhali usicompare

chorus
squad yote mpaka dj black
juu ya kw_ng ongeza tire black
compettion naicheki kwa kioo
vako yake pia ni back on black
miichael jackson black
bank account on black
spend my cash on black
and her ass on black
compettion naicheki kwa kioo
vako yake pia ni back on black
na ni black on black

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...