kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

naffarioh - anguka nayo - remix (heavy duty) lyrics

Loading...

[pre_chorus]
anguka nayo, calm down kama rema
kushuka achia zakayo leo kajaba hakaezitemwa
kama zuckerberg kijana anameta meta
heavy heavy duty, kama bbl za vera
[chorus]
anguka na_a_ayo
anguka na_a_ayo
anguka na_a_ayo
anguka na_a_ayo (aah)

[verse]
amedunga designer na anataka kunipanda
kama tu daudi ananionyesha mawonders
devil in a dress chini amedunga maprada
huku net haiwork but bado namdata

ye uskiza gody tennor, kama dimba anapepeta
amenishika kama homa siteseki kwa hii weather
nishatii siezi chocha na sibongi juu ya ketepa
ye si slave owner, but bado anatesa

masura zimebonda na sibongi riggy g
ndio ni_sare maswara, namwitisha tu id
mi ni late comer though hii mitiing siezimisssss
nim_dare salama ni ka amеtoka tz
black diva with the melanin (melanin)
twеnde coasto tupunge breeze
adi nabonga french, cheki c’est la vie
piga kitu raw raw, and leave the sheets messy (sheets messy)

[pre_chorus]
anguka nayo, calm down kama rema
kushuka achia zakayo leo kajaba hakaezitemwa
kama zuckerberg kijana anameta meta
heavy heavy duty, kama bbl za vera
[chorus]
anguka na_a_ayo
anguka na_a_ayo
anguka na_a_ayo
anguka na_a_ayo (aah)

[verse]
anguka nayo, fika fika down nichi
hii ni free trial, wanacheki na hawalipii
stand tall kama zion, ni ma w’s we are winning
nimeborrow sound, ndio nitest ka ntafit in

chef wa eastlando vile mirista n_z_nispi
still nawaka moto, even though mi sina degrees
wakidaisha barz niko locked ka miti
mi ni kama tyson, kwenye mic hamnifikii
awa manigri ni ma wannabe, wannabe
kila place wanadai kufit in, kufit in
mi ni mnisa sineed salary, salary
self drive ndio inafeed (mi ni mzii)

si ni mabeast kwenye block, tuna_chachisha
hatu_bongi alot, si tuko kimya (shhhh)
na ata bila ball mi na deliver
na in case you don’t know, mzazii ndio jina

[chorus]
anguka nayo, calm down kama rema
kushuka achia zakayo leo kajaba hakaezitemwa
kama zuckerberg kijana anameta meta
heavy heavy duty, kama bbl za vera
anguka na_a_ayo
anguka na_a_ayo
anguka na_a_ayo
anguka na_a_ayo

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...