
nadia mukami - saluti kwa mama كلمات أغنية
saluti kwa mama
heshima kwa mama
pongezi mama
saluti kwa mama
mapenzi kwa mama
asante mama
saluti kwa mama
heshima kwa mama
pongezi mama
saluti kwa mama
mapenzi kwa mama
asante mama
ulijinyima ndio nipate
zile mateso nisikose
ulinipa vyako vyote
leo niko hapa juu yako
(juu yako, juu yako, juu ya, juu ya, juu yako)
mama, mama,(mmmhhh)
mama, mama (yeah)
mama, mama
bila we ningekuwa wapi
mama, mama (uuuuu)
mama, mama (yeah)
mama, mama
naomba mungu akulinde
mwanamke shujaa
mke shupavu
ni wewe mama
mwanamke bomba
mke unangaa
ni wewe mama
na kwa yote (yote tutapitia aaa)
i will always be by your side
na kwenye mvua (kwenye mvua mama)
i’ll be your umbrella
i wanna, i wanna spend all my money
i wanna, i wanna treat you mummy
i wanna, i wanna love you forever mummy
nitafanya nitafanya chochote
(juu yako, juu yako, juu ya, juu ya, juu yako)
mama, mama,(mama)
mama, mama (mama)
mama, mama
bila we ningekuwa wapi
mama, mama (uuuuu)
mama, mama (yeah)
mama, mama
naomba mungu akulinde
saluti kwa mama
heshima kwa mama
pongezi mama
saluti kwa mama
mapenzi kwa mama
asante mama
saluti kwa mama
nakupenda mama
pongezi mama
saluti kwa mama
nakupenda mama (yeah yeah)
mama, mama,(mmmhhh)
mama, mama(mama)
mama, mama (ohhhhh)
bila we ningekuwa wapi
mama, mama (mama)
mama, mama (aahhh)
mama, mama
naomba mungu akulinde
mama, mama,(mmmhhh)
mama, mama (yeah)
mama, mama
bila we ningekuwa wapi
mama, mama (uuuuu)
mama, mama (yeah)
mama, mama
naomba mungu akulinde
كلمات أغنية عشوائية
- miki imai - flashback كلمات أغنية
- colorjoy - blue eyed addiction (renewed version) كلمات أغنية
- strawberry mountain - bug debris كلمات أغنية
- profjam - infinity stones كلمات أغنية
- acidgvrl - toes كلمات أغنية
- enes alper - kuruntu كلمات أغنية
- tracy chapman - lose your love كلمات أغنية
- yunk vino - jogo sujo (part. veigh) كلمات أغنية
- baby melo - nalichnie كلمات أغنية
- boub'z - tu mérites pas (freestyle bdlb #2) كلمات أغنية