nadia mukami - kai wangu كلمات الأغنية
mtoto anafanana na nani
je ana macho kama nadia mukami
atapenda gym kama baba yake ali
ndio maswali najiuliza tu kichwani
niliposikia nakupata
nililia machozi ya furaha
ingawa sikuwa ready kukupata
sina budi sasa kuitwa mama
ila usijali
mama yako mchapa kazi sana
baba yako ana roho safi sana
wazazi wako wote maarufu sana
ee w_ngu ee utatesa sana
namwita jina kai kai kai kai w_ngu wee
namwita jina kai kai kai kai w_ngu wee
(kai, kai kai,) (kai kai kai yoyo) (oyo yoooo)
i can’t wait to hold you baby
juu tumekungoja sana
toto nakuombea daily
mungu akuepushe na mabaya
ata ddunia ikugeukie baby
sitakuacha solo
nitakulinda we we we
baby sitakuacha solo
mama yako ni mchapa kazi sana
na baba yako nina roho safi sana
wazazi wako wote maarufu sana
kai wewe utatesa sana
namwita jina kai kai kai kai w_ngu weee
namwita jina kai kai kia kai w_ngu we
(kai, kai kai,) (kai kai kai yoyo) (oyo yoooo)
(nakupenda sana)(nitakupenda sana)
kai kai yoyo kai kai kai yoyo
كلمات أغنية عشوائية
- feid & yandel - xq te pones así كلمات الأغنية
- sunshine christo - money marks كلمات الأغنية
- mötley crüe - sumthin' for nuthin’ (2021 - remaster) كلمات الأغنية
- desmond michael - acid tongue كلمات الأغنية
- potatoteto - happy birthday, kasane teto! (2020) كلمات الأغنية
- big lax - trouble in paradise!! (byejimmy sample challenge) كلمات الأغنية
- have fun teaching - the water cycle كلمات الأغنية
- kill symbols - cleo كلمات الأغنية
- larry graham - you've been كلمات الأغنية
- snow man - brand new smile كلمات الأغنية