nacha feat. stamina - subiri kwanza كلمات الأغنية
g que on another wan
asaa n vp ni hit bila babu
akat flan ana kiki
ngoma biggee ni ajabu
muzki una tabu
ya muusaa ya maajabu
marapa mnaochana rula
mkatumike kwny hesabu
muzki umejaa mzgo unarapu kama nanii
maana huyoo nanii mwny redion hatumckii
chek braza jmoe
mzee wa mvua na jua
cyo bishoo ila anadab na anatusua
oky
nimek-mbk kuna story za unafki
znavumajoh makini anaandikiwa na nicki
mm siafk kiba kujiita king
akat king ninayemjua mm ni kingkiki
wanaosema hiphop hailip hzo story za uongo
kuna marapa hawalp so dgo fungua ubongo
acha masihara usikae kusubr kiki
hakuna mziki wa biashara fanya biashara ya mzk
nataka kuingia kwenye game
subir kwanza umejipanga au unataka uje tu na irizi yako ya mganga
tatizo lenu nyie madogo mnajisahau
ukitoa ngoma moja unahis umepanda dau
nataka kuingia kwenye game
subir kwanza ujipange
nataka kuingia kwenye game
subir kwanza ujichange
nataka kuingia kwenye game
subir kwanza ujipange
nataka kuingia kwenye game
subir kwanza ujichange
na vip kuhusu nay na madee
nasikia wote marais kuna nchi ya namna hii
na mungu anatenda miujiza nuksi
wasanii wa bongo bhana
weupeeeeee wazazi weus
hata uchane ka 2pac bila heshima kaz bure
ka kichwan hauko smart dogo bora urud shule
kuhusu swala la unga
nadhan mifano unaijua
chondechonde kula wa ugali huo mwingine utakuuwa
sitoroga nivume nipate hela
c mnajua nacha muslam cio christian bella
ntalegeza om nisilale giza
maana nikikaza ala za roho
ntabakidiva
kuhusu story za kuroga
kiukwel cna uhakika
ulimwona nan au gazet liliandika uckariri nyimbo kuhit iwe inachezeka je vikongwe na vilema kund gan utawaweka????
nataka kuingia kwenye game
subir kwanza umejipanga au unataka uje tu na irizi yako ya mganga
tatizo lenu nyie madogo mnajisahau
ukitoa ngoma moja unahis umepanda dau
nataka kuingia kwenye game
subir kwanza ujipange
nataka kuingia kwenye game
subir kwanza ujichange
nataka kuingia kwenye game
subir kwanza ujipange
nataka kuingia kwenye game
subir kwanza ujichange
nataka kuingia ili niwanase wakina huda
maana nasikia ukihit wao wenyewe tu wanakuja
cjui mara flan me mdananda
ukitaka uzoefu wa kufugwa muulize nuhu mziwanda
iv brother kwanza dem wako nan
cna dem nina mke nimemwacha nyumban
bila kiki za wasichana mpaka leo nipo bomba
so waambie watoto wa mama
stamina ni saut ya mjomba
كلمات أغنية عشوائية
- terra preta - os muleke é zika (inevitável) كلمات الأغنية
- liam payne - history كلمات الأغنية
- venz - ogni volta che muore un fiore كلمات الأغنية
- sybyr - glorious كلمات الأغنية
- marvin gaye - jan (live 1974) كلمات الأغنية
- bonez mc - ein jahr كلمات الأغنية
- twoclok - meridianos كلمات الأغنية
- chambalguy - tarana كلمات الأغنية
- the rolling stones - you can't always get what you want (live) كلمات الأغنية
- leellamarz - 삘 (feel) كلمات الأغنية