kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

mwana fa x ay x fid q - upo hapo كلمات الأغنية

Loading...

intro:
eveeryboody
b-hits
b-hits
b-hits

verse 1: mwana fa –
mipango baaba,baba sihitaji shida za waana mipango ya namba/ mipango baaba,baba sihitaji shida za waana mipango ya namba/ nanukia vizuri kama duka la perfume/
usiniite muhuni huwezi pata harufu ya ndumu/
hata beat sio kub-m,kubam ya kibishoo/
ila wana bado wakavu bishoo usilete hizoo/
najua kona zote kama uf-gio wa zamani/
vichaka na chocho zote macho tu bila ramani/
ni kudra na mwanadamu n-z- haishindani na jiwe/
lilopangwa liwe/ buggy jeans swag sio ya miaka 17,we baba/(mzee baba)/
unataka vita na mafia/
dili za mabilioni na bado tai huzioni/
winning together,wanangu begani/
utanipenda bob, wananiitaga mastermind/
mipango kw-ngu inachipua haina end/
uncle fa,fascobar usilete uchimvi/
navua gloves ila bado naupenda ugomvi/

chorus: (mwana fa)
upo hapo x4

verse 2: ay
h-ll yeah kwa beat ya hermy b/
fareed,fa,ay salu-te/
mzuka umefuf-ka toka enzi za ect/
kikosi mstari wa mbele na nyuma haturudi/
uh,kaa mkao wa kula kama ulivuna/
pambana na hili shangwe lisije likakutafuna/
tamani vyote ila chagua vya k-mung’unya/
d-mn… make sure mf-ko umetuna/
kwenye giza mkononi mie nina tochi/
kuna vikosi mikosi gozi gozi /
kamata wa pembeni yako upige bao/
fanya yako usione hatari kama kuna w-nga kibao/
na mastercard mf-koni / nimenyuka pamba kimtoni/
na sura ngumu kama stone/ ukijichanga tu hauponi/
biashara asubuhi mpaka asubuhi so jipange tu hommie/
muchiri waambie aterere ndio nini/
vibe liko juu kwanza mkeka haujachanika leo/
tank liko full leo masinema si video/
el-chapo bado nipo nipo so nanyatia chipo chipo nisitoke draw upo??

chorus: (mwana fa)
upo hapo x 4

verse 3: fid q
mie ndio yule, mjamaa anayejua hadi anaboa/
kilichofanya nikakua sio raha ya ndoa/
ni kuzitua tamaa na njaa kuitoa/
ninapoamua.. kukamua.. mnajua.. inakaa poa/
niko tight kama chabunene ndani ya skinny jeanz/
hautaki kuja kati? moonwalk kama billie jean/
wazee dili ni nini?/ aisee mna akili nyinyi /
mie nina siri ya mjini/ na ya utajiri amini/
nnajua mie ninajitambua kitambo../
nawanywesha uhalisia ili muucheue ule ukweli wa mambo/ sitaki huko mbele ibaki misele au majuto au milupo kuwa tele/ yabaki madusko mf-ko wa mafao/ kuna maisha baada ya groupie love sio kuti kavu, mashuti nyavu.. mamluki hamnikuti bado mpo down•••

chorus: (mwana fa)
upo hapo x4

outro: (mwana fa)
mipango baaba,baba sihitaji shida za waana mipango ya namba

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...