kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

munta dee - yana wenyewe كلمات أغنية

Loading...

j4d sound
mama wa toto
adasco m2 m’baad

kisa kapata penzi jipya la kw_ngu kaliona takataka
nakama tatizo pesa siangesema muhuni ningempaa
kaondoka uku ananmimba yangu vp sasa kuhusu wale watoto w_ngu
kaondoka kaacha majonzi kw_ngu nahakujali ata icho kidogo changu
kaondoka kabeba vyote vitu vyangu home silal nalala kwa rafik zangu
kaondoka kabeba hadi nguo zangu sina hali nahazima kwa rafiki zanguuu
aaah siunajua mapenzi yanawenyewe basi nipeni pombe nilewe
au basi tu niacheni mwenyewe daah

#verse
basi kama kunakosa nyuma nilimkosea
lakini hapana akuna niliyo mfanyia
au labda ujana tu ndo unamsumbuwa
sawa adange ila ak_mbuke tu familia
panya na mende ndani wananizomea
haitoshi inauma majirani wakiulizia
vp mama watoto atumuoni hata akif_gia
nashindwa sema nabaki najinamia (kwa yote)
kwayote aliyo yafanya kw_ngu ikawa kama sinema
majonzi majonzi yaliutawala moyo w_ngu
ndomana siwezi k_mbuka nyuma
ingawa ingawa umeondoka na wanangu minakuombea dua njema
popote popote uiskiapo sauti yangu usisite kusema
kisa kapata penz jipya la kw_ngu kaliona taka taka
na kama tatizo pesa siangеsema muhuni ningempaa

#outro
munta deeeee ahhh
mtu m’baad

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغنية الشائعة حالياً

Loading...