
munta dee - ufala كلمات أغنية
[verse 1]
adasco m2 mbaya
uo ufala wa kukupenda
tena mimi sina
nishaachana na wengi
itakuwa wewe kimaa
tena nikikuona najiona fala
kulaaanina
ndio mimi nilikuwa nalia
kisa wewe kweli ufala
[chorus]
ulikuwa utoto
sasa hivi nishakuwa my
ule kweli ulikuwa utoto
asaivi nishavuka my
ah, ulikuwa utoto
sasa hivi nishakuwa my
ule kweli ulikuwa utoto
asaivi nishavuka my
[verse 2]
mi sio tozzy wewe
saivi na vitu vyangu
embu toka nipishe, sio type yangu
uliniona wa nini
nishapata wakunipenda
penzi kutwa utemi
uogopwe, umekuwa defender
mwenzako napewa kitu
roho yangu inapenda
changu chake changu
chake chake pembaa
[chorus _ repeat]
ulikuwa utoto
sasa hivi nishakuwa my
ule kweli ulikuwa utoto
asaivi nishavuka my
ah, ulikuwa utoto
sasa hivi nishakuwa my
ule kweli ulikuwa utoto
asaivi nishavuka my
كلمات أغنية عشوائية
- issbrokie - hydro! كلمات أغنية
- layah jane - find you gone كلمات أغنية
- zavet (deu) - lügenmeer كلمات أغنية
- lord $upreme - ahmad x (malcolm’s philosophies) كلمات أغنية
- admiralbrainfood - død كلمات أغنية
- itsmanman - travis hunter كلمات أغنية
- eycin - bache khar kon كلمات أغنية
- vai - vécu كلمات أغنية
- i gatti mézzi - bello 'r mi arno كلمات أغنية
- tazmaniaxx - mia كلمات أغنية