
mulu akili - sisi. كلمات أغنية
[verse 1]
uwe mbali au karibu
moyo w_ngu ulish_geuza nyumbani
hebu sasa nipe jibu
j_po bado naweza subiri
[pre_chorus]
twende wapi sisi?
tuwe tu wawili
mlango nauwacha wazi
ila ukiingia funga basi
[chorus]
maaana ni mimi na wewe
hayo mengine hatujali
maana ni mimi na wewe
wengine tusiwape nafasi
baby ni wewe
darling ni wewe
baby ni wewe
darling ni wewe
[verse 2]
mengi unatarajia
nami nang’ang’ania
na ulivyonivumilia
i say
si kawaida
mengi unatarajia
nami nang’ang’ania
na ulivyonivumilia
i say
si kawaida
[pre_chorus]
twende wapi sisi?
tuwe tu wawili
mlango uko wazi
eh, ingia nyumbani
twende wapi sisi?
tuwe tu wawili
mlango uko wazi
eh, ingia nyumbani
[chorus]
maaana ni mimi na wewe
hayo mengine hatujali
maana ni mimi na wewe
wengine tusiwape nafasi
baby ni wewe
darling ni wewe
baby ni wewe
darling ni wewe
[bridge]
hakuna
lakulinganishwa
au kufananishwa na wewe
hakuna
linaloweza
kututenganisha
[chorus]
maaana ni mimi na wewe
hayo mengine hatujali
maana ni mimi na wewe
wengine tusiwape nafasi
baby ni wewe
darling ni wewe
baby ni wewe
darling ni wewe
كلمات أغنية عشوائية
- dylanthagreat - change locations remix كلمات أغنية
- money boy - wasser كلمات أغنية
- thatiey - last كلمات أغنية
- tove lo - jump in كلمات أغنية
- eden havana - landing كلمات أغنية
- miri yusif - qal كلمات أغنية
- britizen kane - locked & loaded كلمات أغنية
- ydxx - skeletons كلمات أغنية
- v (boy band) - you stood up كلمات أغنية
- mauria - blame كلمات أغنية