kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

muki rai - nairobi yetu كلمات الأغنية

Loading...

intro:
aha
muki-rai

nairo, nairobi/
nairo, nairobi/

cheki!

verse 1:
karibu kwa hili jiji, the ugly side of the city/
mahali ufisadi huvaa suti na huku itikadi zinaudhi/
watu huku hufuata njia panda hawaogopi kupasuka msamba zi/
hawaoni ikiwa risky inabidi watafute riziki/
ukitarajia kuajiriwa ki-utani unaeza-suffer doom/
kwa sababu, ya kukosa connections ile design ya server room/
ukitafuta kazi usiwe na hopes high za kupata hefty package/
kwa kampuni mingi huku hivi, minimum wage ni rite ya p-ssage/
k-mbuka kuambia mola abariki mwenye atakuunganisha/
consequence ya kupata wera moja ni kucheleweshewa mndesha/
terms za working conditions hu-overlook underlying factors/
overworked underpaid oh, inakuw-nga on purpose/
status quo ni bila bonus, yuukuwa ni quid-pro-quo bro/
ati unataka pro bono boss jo hiyo ni no no/
hadi ile siku ntapata kitambi huskii siwezilala unono/
kwa hivo kindly, meet your end of the bargain pr-nto/

hook:
nairo, nairobi yetu/
nairo, nairobi yetu/
nairo, hii nairobi yetu/
hakuna kitu ngumu ka kupata j.o.b. nairobi/
nairo, nairobi yetu/
nairo, hii nairobi yetu/
nairo, hii nairobi yetu/
hakuna kitu ngumu ka kupata j.o.b. nairobi/

verse 2:
usiwacheke wakiwa mawaya kama ni haga unaramba/
maanake kenya inflation pori za watu inaperemba/
ni serikali inawatenda, ndo maana sa me napenda/
ku-monitor yangu expenditure na kui-balance na budget/
sijawahi weka mayai zangu zote kwa moja basket/
niko na task za ku-accomplish, kabla niwekwe kwa casket/
na bila uta wala mishale niko ithaa ya kuhit targets/
zote zile nime-set yeah, zote zile nime-set/
for now me staki cryptocurrency siwezienda nayo shopping/
zangu ni sarafu na noti, satoshi hazitoshi/
niko on the move daily jo, ni-make sure sisoti/
ndo nikipatwa na mahitaji pia nihakikishe sikopi/
wanasiasa ni insincere, nikiwaskia ntasinzia/
zao hotuba ukizubaia niko harakati ya kutafuta shamba/
yenye mchanga una rotuba, napalilia, fruits za labor/
yangu, fruits zangu za labor yeah! /

hook:
nairo, nairobi yetu/
nairo, nairobi yetu/
nairo, hii nairobi yetu/
hakuna kitu ngumu ka kupata j.o.b. nairobi/
nairo, nairobi yetu/
nairo, hii nairobi yetu/
nairo, hii nairobi yetu/
hakuna kitu ngumu ka kupata j.o.b. nairobi/

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...