kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

muhanjii - blandah كلمات الأغنية

Loading...

kuna church ukienda ni blandah
look ukipiga ni blandah
dame ukioa ni blandah
[ blandah ]-2

kuna venye ukivaa ni blandah
time uwaste ni blandah
talent uwaste ni blandah
[ blandah ]-2

chorus
hiyo ni blandah -7
life bila christ hiyo ni blandah

eey .. niaje .. niko fiti boy
sina stress sina presha niko fiti boy
okay. … ukona watch sina rolly boy
time ya yesu niko ndani me ni wake boy
aaaaaah nice nina stori boy
feel free chapa gumzo tuko base boy
sina ganji sina plan me nasaka boy
niku ngori kwanza mtaani ni kubaya boy,.. .eyy
matha kufungiwa keja
buda madre mtasis naye mteja
baby mama kunifata presha presha
mjunior nayo k-mea . ..eey
jioni nihang kwa mathree
nipate ganji nikalipe fee
nai hakuna cha free hakuna cha free
hawa wote ni mafisi
chief chief tulia boy
hiyo yote joh ni ngori but solution boy
sina mengi ya kusema still thinking boy
lakini kusema ukweli manze hiyo ni blandah

chorus
hiyo ni blandah -7
life bila christ hiyo ni blandah

i mean nacheki vile unahepa na unadai unasolve
sitakuficha sitakuchocha ukweli ntahave kusay
hauna plan hauna njia utamake aje kizee
hii ni hardwork na kupray hakuna shortcut manze
si wee ndio ulianza mangeta, ukajichocha ati ni wee ndio kusema
ukajiita mauru pale system chuo hauk-mada
king wa mtaa ni wee king ya mtaa si wee sasa husemi
ona mashida ni mob ona mablanda ni mob decision ni yako
napenda vile kuna presha
napenda vile kuna struggle
napenda vile haibambi
napenda vile kuna ngori .. .eish
tought times got you thinking boy
tergat usain bolt no running boy
face your fears do it right have a plan boy
pray to god seek his face have a plan boy
let your miss be a hit in the future boy
if i start being comfortable hiyo ni blandah

chorus
hiyo ni blandah -7
life bila christ hiyo ni blandah

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...