kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

muddah - mdogo mdogo كلمات الأغنية

Loading...

[intro]
one two
mdogo mdogo
mdogo mdogo
mdogo mdogo
mdogo mdogo

[verse 1]
chek is how
leo tunadunda is how?
tupitie westy ndio tujue ni how
kama kawa si unajua fare huw-nga ni mbao
na ka si lejo au chrome tukata kibao
huh, yea…
but leo tu ni mdogo
nadai kula bata hatudai zogo
cheza chini uskize hii mkorogo
nairobi youth part 2 now you know bro

[chorus]
ju ni kubaya round hii
kama mluhya na chai watatii
vile tunadunda round hii
hakuna pressure we zitoke ukicheza tu
mdogo mdogo (eeih twende juu)
mdogo mdogo (manze shuka chini)
mdogo mdogo (we zitoke tu)
mdogo mdogo (aki walai)

[verse 2]
kwanza nashukuru mungu kwa uhai
na pia peddi w-ngu ju pia leo niko high
better believe me man i got the ride
i got the vibe anyday ntak-make udunde walai
but leo, but leo tu ni mdogo
nilikusho manze sipendangi zogo
zikinice na maintain on a low low
ma dark shades nikiwapiganga tu usoro
so cheza ndogo ishi ni kama you will never die
ukiomoka walai make sure haurudi nai
piga hustle sakanya buda ya muigai
after that chafua bila kuji deny
right?
so si ushajua vile si hujinice
ma — nyingi always got me feeling really wice
muda w-ngu umewadia muddah w-ngu sai
na sioni time ingine buda ka si sai

[chorus]
ju ni kubaya round hii
kama mluhya na chai watatii
vile tunadunda round hii
hakuna pressure we zitoke ukicheza tu
mdogo mdogo (eeih twende juu)
mdogo mdogo (manze shuka chini)
mdogo mdogo (we zitoke tu)
mdogo mdogo (aki walai)

[bridge]
yea
ukiniona piga nduru like
aki walai
yea, si unajua vile si hufanya

[chorus]
ju ni kubaya round hii
kama mluhya na chai watatii
vile tunadunda round hii
hakuna pressure we zitoke ukicheza tu
mdogo mdogo (eeih twende juu)
mdogo mdogo (manze shuka chini)
mdogo mdogo (we zitoke tu)
mdogo mdogo (aki walai)

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...