kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

msomali - uongo lyrics

Loading...

j4d sound
aaah vitamin yooo
adasco m2 m’bad

oya ukiambiwa mi malaya wala sio uongo uwo
mapenzi yenyewe yananichanganya ubongo uwo
minakupenda unanipenda kwa uongo uwo
umenimiss unanimiss kimchongo uwo
nami na moyo mama sio jiwe ooh
mengi uliyofanya naumia rohoo
nami na moyo mama sio jiwe ooh
mengi uliyofanya naumia rohoo

oya mi muongo mi muongo

oyaa nakunywa pombe na vuta bange
nafanya dhambi na wapeleka kwa mparange
siachi kwenda club siachi kwenda ulabu
nitawapa sana tabu wanaopenda pesa ooh

oya mi muongo mi muongo

nikisema nakupenda mi muongo
sina mapenzi ya kweli mi muongo
nina chembe za utapeli mi muongo
ukinipenda umefeli mi muongo
oya mi muongo mi muongo
oya mi muongo mi muongo
oya mi muongo mi muongo
oya mi muongo mi muongo

oya nasema ukweli ila kama uongo uwo
nilivyoimba vyote si kweli uongo uwo
oya mi muongo mi muongo
oya mi muongo mi muongo
nilivyoimba vyote si kweli uongo uwo
nilivyoimba vyote si kweli uongo uwo

oya mi muongo mi muongo
oya mi muongo mi muongo
oya mi muongo mi muongo

m2 mbaad

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...