kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

msomali - unitaki lyrics

Loading...

future
pacheko midundo
vitamin music forever

inaama ndio unitakii (nalia mama aah)
sms huzionii (nalia mama aah)
simu haupokeii (nalia mama aah)
naukipokea hauongei (nalia mama aah)
inaama ndio unitakii (nalia mama aah)
sms huzionii (nalia mama aah)
simu haupokeii (nalia mama aah)
naukipokea hauongei (nalia mama aah)

aahh
kamwe sitoacha kukusumbua
hata ukinivimbia nitavumilia
kamwe sitoacha kukusumbua
hata ukinivimbia nitavumilia
aaa
wewe ndio umefanya nikayajua aya
mwaya wewe akili yangu ukaitimua aya
mwaya wewe nilipopenda ndo nilipo bugi mie
uaminifu w_ngu ndio umeniponza mie

kama chupa limeamka na chai nashtuka
sijiwezi nipo hoi
kwani mi kuyajua nimechelewa
ama kwa penzi lake nimenogewa
kwani mi kuyajua nimechelewa
ama kwa penzi lake nimenogewa
eti kama kambale nateleza pеke yangu
we upo mbali sikuoni my w_ngu
eti kama kambale natеleza peke yangu
we upo mbali sikuoni my w_ngu weeeh

inaama ndio unitakii (nalia mama aah)
sms huzionii (nalia mama aah)
simu haupokeii (nalia mama aah)
naukipokea hauongei (nalia mama aah)
inaama ndio unitakii (nalia mama aah)
sms huzionii (nalia mama aah)
simu haupokeii (nalia mama aah)
naukipokea hauongei (nalia mama aah)

maumivu uliyonipa donda lisopona
nahisi nitazikwa aah nimekoma
maumivu uliyonipa donda lisopona
nahisi nitazikwa aah nimekoma
nikiuliza vip anajibu utajua ujuii
kwani vipi inamaana hanitambuii
inamaana sauti yangu haijuii
ama mi ndio sipendwii sijuii
inamaana sauti yangu haijuii
ama mi ndio sipendwii sijuii
mudy k shemeji yenu anijui
hata nikimtazama usoni hanitambuii
we msizwaa shemeji yenu anijui
hata nikimtazama usoni hanitambuii
(nilipopenda ndo nilipo bugi mie
uaminifu w_ngu ndio umeniponza mie)

___

msomali _ unitaki
genre: singeli
producer: pacheko midundo

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...