kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ms.katana - jana كلمات الأغنية

Loading...

jana tulikua maji na leo tunarudia_u
(tuli dance joo, tuli move slow)
(ma dancehall, zilifanya nitoe jasho)
jana tulikua maji na leo tunarudia_u
(tuli dance joo, tuli move slow)

(jvc)

[hook]
jana tulikua maji na leo tunarudia
ukiskia hii ngoma unafaa kujishikilia
imebidii ujishike magoti

jana tulikua maji na leo tunarudia
ukiskia hii ngoma unafaa kujishikilia
imebidii ujishike magoti

[verse 1]
jana ulikua umebleki
itabidi sasa umejua kula hepi
huwezi tu baki umesleki, uhhh

kwa mana, hii ngoma ni tamu tu kwa sana
wakikuuliza uwambie ni katana

ni chapie kwa simu tunaweza pa
tunaweza patana turudie za
turudie za jana

.. chapie kwa simu tunaweza pa
tunaweza patana turudie za
turudie za jana

[hook]
jana tulikua maji na leo tunarudia
ukiskia hii ngoma unafaa kujishikilia
imebidii ujishike magoti

jana tulikua maji na leo tunarudia
ukiskia hii ngoma unafaa kujishikilia
imebidii ujishike magoti

[verse 2]
tuli dance joo, tuli move slow, ili nice joo, sikuweza toka kwenye dancefloor
ma dancehall, zilifanya nitoe jasho
badaae hapo ika bidi tutoe mipango, ayee
ikabidi tutoe mipango, ikabidi tutoe mipango

vunja mifupa kama meno bado ipo

ni chapie kwa simu tunaweza pa
tunaweza patana turudie za
turudie za jana

.. (cha_chap) chapie kwa simu tunaweza pa
tunaweza patana turudie za
turudie za jana

[hook]
jana tulikua maji na leo tunarudia
ukiskia hii ngoma unafaa kujishikilia
imebidii ujishike magoti

jana tulikua maji na leo tunarudia
ukiskia hii ngoma unafaa kujishikilia
imebidii ujishike magoti

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...