mrkiddo - bado sana كلمات الأغنية
bado
bado sana
bado
bado sana
bado
bado sana
bado (mr lg)
bado sana
nimezoea kwa mpalange eti unipeleka mbezi (bado sana)
kutega unatega ila kupata masponsor (bado sana)
tatizo nje shega ila ndani kujiosha (bado sana)
we mgosi wa kukaya hebu kuwa na haya (bado sana)
tulikutoa sigimbi leo unajiona wa ulaya (bado sana)
ka mnasepa sepeni mi kurudi nyumbani (bado sana)
ka mnakesha kesheni tikisha ka imeisha (bado sana)
bado
bado
bado sana
nauliza mmechoka?
bado
mmechoka?
bado sana
wanangu mmechoka?
bado
mmechoka?
bado sana
aii! hako kamacho matatu usijione bosi (bado sana)
ukajishebedua kutuletea mapozi (bado sana) kwa vibia vitatu ndo eti
eti simba uoe (bado sana) wanasubiria (bado)
ndangote kufulia (bado sana)
vinyimbo wataimba ila we!! kunifikia (bado sana)
ati kisa kigari ndo hawatusalimii achaaaa!
ndio maana dem wake wanamnanii aiyayayaya!
mjomba chumali kachinja mang’ombe yaani zidi kwa kiti (acha bwana)
cha ajabu kazidi ubonge ila kwenye muziki (bado sana)
ka mnasepa sepeni mi kurudi nyumbani (bado sana)
ka kukеsha tukesheni au mizuka imekwisha (bado sana)
كلمات أغنية عشوائية
- brady stolz - new days كلمات الأغنية
- lee mujin (이무진) - 무무의 하루 (mumu’s day) كلمات الأغنية
- lovuna - sepreparo fr tatzumy كلمات الأغنية
- mc tyson - still i love you so كلمات الأغنية
- h3nryy - my way كلمات الأغنية
- dereks1 - wow swag كلمات الأغنية
- lady gaga - i’ve got the world on a string كلمات الأغنية
- chlorofeat - fucked up كلمات الأغنية
- dandelion star - если вкратце (in short) كلمات الأغنية
- mawuffin - whiskey cola كلمات الأغنية