kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

mr right - woosh woosh كلمات الأغنية

Loading...

[intro]
tano nane, uh
kwani ni kesho, m_r r_i_g_h_t, yo
yo, listen, huh
yo

[chorus]
kwa hii nyumba, mimi ndio buda, baby girl, una_follow the rules
five eight, five eight, tano nane, kama unanijua, mi na_rep hiyo hood
tume_pull up, woosh woosh, they rolling kama backwood
m. right, nishakuwa addict, aki walai, si napenda ma_kush
na, na sipendi ma_snake, wana_beat around the bush
huyu b_boy jo ni m_simple, there’s no rush, mi na_rap vi_smooth
na, na niko kwa block, kuna_buzz around the bush

woosh, woosh, woosh, woosh

[verse 1]
m. right ni i, na_attract ma_p_ss (wapoa)
back then, nilikuwa footballer, coach sample, nili_hang ma_boots
top laga 254, ni_dm ukidai ma_goods
saa zingine mi hu_rap, mi hu_spit, saa zingine sinanga moods (uh_uh)
huu boy ni m_clean, ni m_pure, guys like me wanakuw_nga fewer
covid, f hiyo disease, five eight, tunakuw_nga na cure
man a driller, man a driller, slim slim sewеr (grr)
everyday sisi hupurura, man, hizi shash zishakua too much
i got omega on my wrist, chini ya maji, planet ocеan
m. right, me hukuw_nga m_social, by next week, i’ll keep you posted
huu mpoa ame_trip, ame_fumble, anadai kunikorogea love potion

tuna_hit a quarter mil views with no promotion
na, na tukiwa kwa lab, mi na dencho ni ma_explosion
tuna_hit a quarter mil views with no promotion
na, na tukiwa kwa lab, mi na dencho ni ma_explosion
[chorus]
kwa hii nyumba, mimi ndio buda, baby girl, una_follow the rules
five eight, five eight, tano nane, kama unanijua, mi na_rep hiyo hood
tume_pull up, woosh woosh, they rolling kama backwood
m. right, nishakuwa addict, aki walai, si napenda ma_kush
na, na sipendi ma_snake, wana_beat around the bush
huyu b_boy jo ni m_simple, there’s no rush, mi na_rap vi_smooth
na, na niko kwa block, kuna_buzz around the bush
na, na niko kwa block, kuna_buzz around the bush
woosh, woosh, woosh, woosh

[verse 2]
m. right ni mimi, si hupiga design zote
kwani ni kesho, au huamini?
na ukisikiza vitu tunaroga, si utafyat jo akili?
flow ni ka ya pili, huwezi nipima ka ratili
waliwacha kula moto, siku izi wana_katch ma_feelings
show ni ka hawafiki, ka hujui, si tunadai shilingi (cash, cash)
kwa hii concrete ni tricky, trace hiyo guap ndio upige tiki (nike, nike)
kwa hii concrete ni tricky, trace hiyo guap ndio upige tiki

[chorus]
kwa hii nyumba, mimi ndio buda, baby girl, una_follow the rules
five eight, five eight, tano nane, kama unanijua, mi na_rep hiyo hood
tume_pull up, woosh woosh, they rolling kama backwood
m. right, nishakuwa addict, aki walai, si napenda ma_kush
na, na sipendi ma_snake, wana_beat around the bush
huyu b_boy jo ni m_simple, there’s no rush, mi na_rap vi_smooth
na, na niko kwa block, kuna_buzz around the bush
na, na niko kwa block, kuna_buzz around the bush
woosh, woosh, woosh, woosh

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...