kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

moses tsuma - furaha ya wokovu كلمات الأغنية

Loading...

furaha ya wokovu
___aaaah, wewe ni bwana utupaye furaha ya wokovu, pokea sifa.___
naleta mbele zako sifa na ibada eeeh, baba zidi zidi sana ndani yangu
uujaze moyo w_ngu na furaha ya wokovuuu, rohoni niimbe salamaaaa

naleta mbele zako sifa na ibaaadaa, baba zidi zidi sana ndani yangu
uujaze moyo w_ngu na furaha ya wokovu
rohoni niimbe salamaaaa, rohoni niimbe salamaaaa

(aa shuukaa, shuka baba, uijaze mioyo yetu na furaha ya wokovu)
shuukaa, shuka baba, uijaze mioyo yetu na furaha ya wokovu
(tunapo kuabudu, uijaze miooyoo)
uijaze mioyo yetu, na furaha ya wokovu
(na sisi mekutamani uijaze miooyoo)
uijaze mioyo yetu, na furaha ya wokovu
(jaza, jaza, jaza, jaza mioyo yetu)
uijaze mioyo yetu, na furaha ya wokovu
(hatutaki mambo mengine yaijaze miooyoo)
uijaze mioyo yetu, na furaha ya wokovu

(nitamu nitamu nitamu nitamuimbia yesu eeehh)
mwimbia yesu..uu, mwimbia yesu..uu
(nitamu nitamu nitamu nitamuinua yesu eeehh)
tumwinue ee, tumwinue ee, tumwinue ee, tumwinue ee
tumwinuе, mwinue, mwinue, mwinue, mwinuе…..yesu ni bwana
juu ya yesu eeh, ninaiiishi
juu ya yesu musa, niliponaa
juu ya rehema zake, ninadumishwa naye bwana
juu ya nehema yake ninaimba na kusifu eeh
juu ya yesu eeh, juu ya yeeesuu, juu ya yesu mimi, juu ya yesu w_ngu
oooo, ooh
(mungu juu mungu juu, mungu juu sana) x2
{(halelluyah halelluyah halelluyah ) amen, (halelluyah halelluyah) amen} x3

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...