
moram tz - ilo amapiano كلمات أغنية
Loading...
vers 1
mbona unaleta maringo
nishasema nipo single
unatingisha na mwendo
unaruka na mitindo
nikiona wezere linanichanganya “changanya”
sasa mbona unabana bana “unabana”
bridge
ukinipa sitasimulia
nikipanda nitapapalia
nikipata sitakuachia
nitaruka na kushangalia
chorus
nipe niruke nalo ilo
nipe niseme nalo ilo
ilo ilo “ilo” ilooo
ilo ilo “ilo” ilooo
vers 2
unataka namimi nidange
upeleke umbea kwa mange
napiga misumari nashindilia
haina haja hata ya sidilia
wakija na wakuda
watatukuta barakuda
nipe mambo nipe nipe
nipe mambo nipe nipe nipe
bridge
ukinipa sitasimulia
nikipanda nitapapalia
nikipata sitakuachia
nitaruka na kushangalia
chorus
nipe niruke nalo ilo
nipe niseme nalo ilo
ilo ilo “ilo” ilooo
ilo ilo “ilo” ilooo
كلمات أغنية عشوائية
- zt5 - integral كلمات أغنية
- home groan - alone together كلمات أغنية
- lilcj kasino - stop, drop & roll كلمات أغنية
- seán barna - macri park كلمات أغنية
- sundiver ca - eye 2 eye كلمات أغنية
- mazzel - fantasy كلمات أغنية
- the wreckers - way back home (live) كلمات أغنية
- tre watson - last christmas كلمات أغنية
- spektro - loop كلمات أغنية
- abu99 - kliché كلمات أغنية