kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

montana boshen - ccm daima singeli كلمات الأغنية

Loading...

imoto dusco on the beat

ccm namba one hata ukibisha wewe nani
mama samia namba one hata ukibisha wewe nani

we mama samia auna baya
umefanya mengi mazuli si tumeona
we mama samia auna baya
umefanya mengi mazuli si tumeona

barabara mifereji vyote uhakika
hospital mashuleni vyote uhakika
madaraja na ile reli vyote uhakika
ikulu na bungeni vyote uhakika

kama unaipenda ccm mkono mmoja weka juu
kama unampenda mama samia mkono mmoja weka juu
kama unaipenda ccm mkono mmoja weka juu
kama unampenda mama samia mkono mmoja weka juu

wote ccm ccm ccm ccm tena ccm ccm ccm ccm

ccm namba one hata ukibisha wewe nani
we mama samia namba one hata ukibisha wewe nani
mbuga za wanyama tunajivunia hapa tanzania
miradi ya uhakika tunajivunia
viwanda vyetu bora hapa tanzania
uongozi wa tanzania tunajivunia

mawaziri wanapiga kazi kazi kazi
wabunge wanapiga kazi kazi kazi
madiwani wanapiga kaz kazi kazi
uvccm wanapiga kazi kazi kazi

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...