moipei quartet feat. miriam makeba - pole musa lyrics
Loading...
musa nimevumilia sana
musa nimevumilia sana
kupigwa pigwa kama mimi punda
na sura yangu imeharibika
na ngumi zako za kila siku musa taabu… taabu… taabu
kweli musavuliponioa
sura yangu, haikuwa na alama hata moja
nilikuwa na afya nzuri
nilinonakama ngoima ya kirige
kweli musa, uliponioa sura yangu, haikuwa na alama hata moja nilikuwa na afya nzuri
nilinonakama ngoima ya kirige oye, oye
tafadhali musa tafuta bibi atakayeweza kuvumilia hizo tabia zako
ukinywa pombe wamnywia yeye ukinywa munyeke wamnywia yeye pole… pole… pole.
كلمات أغنية عشوائية
- avalanche effect - inner strife lyrics
- officialprinceg - one year span lyrics
- jojo mason - let me down easy lyrics
- veekay - enough of it lyrics
- jacob koopman - ego lyrics
- hacelen royer - colours of you lyrics
- karen took the kids - tangerine lyrics
- sevensins (kz) - kabbalah lyrics
- allie sherlock - leave me with a decent goodbye lyrics
- j-mil - come over (cold in the morning) lyrics