mohtz_ - call me كلمات الأغنية
verse 1
ah
nipo alone in a midnight
all i see is streetlights
its cold as f-ck
n0body by my side ah
dogs barking’
neighbors f-cking’
and am just right here
all alone my dear ah
nacheki your picture
upo wapi my creature
naangalia muda d-mn, usiku saa tisa
why didn’t you tell me, you ain’t coming back
you know i love you ah to the moon and back
bridge
maisha gani tunayo ishi honey
namba yako we haipatikani
piga sana jana usiku daah
nikaenda kuutwika bar
nimerudi we haujarudi
unanifanyia makusudi
nipo alone tu kwa jacuzzi
nawawaza tu akina suzy
mapenzi gani unaleta yoo
utanifanya nikuweke pause
we hujui kuniweka close
nitafute anaejua ofcourse
kazi yako kunitoa chozi
kila siku ishakuwa doze
nikiondoka ndo sirudi tena we endekeza yako mapozi, sh-t
no chorus
verse 2
ah
mi sio mgeni wa love
nshaumizwa before
kama vipi carry your bags just go ah
we un-z-ngua
husomeki jua au mvua
mi mzigo nshautua
nataka kupiga hatua
rafiki zako wanapiga simu everyday
wanataka hookup nami nawaambia no way
and your here playing games
nakuheshimu anyway
hujisheshimu by the way
ndo sababu hatuwezi kuwa the same
bridge
maisha gani tunayo ishi honey
namba yako we haipatikani
piga sana jana usiku daah
nikaenda kuutwika bar
nimerudi we haujarudi
unanifanyia makusudi
nipo alone tu kwa jacuzzi
nawawaza tu akina suzy
mapenzi gani unaleta yoo
utanifanya nikuweke pause
we hujui kuniweka close
nitafute anaejua ofcourse
kazi yako kunitoa chozi
kila siku ishakuwa doze
nikiondoka ndo sirudi tena we endekeza yako mapozi, sh-t
no chorus
كلمات أغنية عشوائية
- chimbala - maniquí كلمات الأغنية
- lil lonnie - hit you back كلمات الأغنية
- 23 unofficial - ride for me كلمات الأغنية
- paris combo - aquarium كلمات الأغنية
- the moody blues - it's cold outside of your heart كلمات الأغنية
- kingkota - bluff كلمات الأغنية
- ssion - the cruel twirl كلمات الأغنية
- paydar - yaghe كلمات الأغنية
- canto da vila - " 48hrs de rap " كلمات الأغنية
- malkeazy - freestyle tamtam كلمات الأغنية