
mohmohrap - knb كلمات أغنية
(chorus)
mi ni kijana ni boi
moh mi sina ngori
nachill na beat inagonga
beat inagonga
mi kijana ni boi
moh mi sina ngori
nachill na beat inagonga
beat inagonga
cheki mi ndo nabonga
beat bado nasoga
fika salama kwa baba
salimia baba
cheki mi ndo nabonga
beat bado nasoga
fika salama kwa baba
salimia baba
(verse 1)
bado naomba bado naroga
niko kimoja na waumini
mimi ni mimi ah! basi niamini
cheza kiwewe nicheze kimimi
kila siku niko juu njeve ndo kuu
niko miguu alafu mimi na hu
akili na mguu ya pili ni akili na mguu
(chorus)
mi ni kijana ni boi
moh mi sina ngori
nachill na beat inagonga
beat inagonga
mi kijana ni boi
moh mi sina ngori
nachill na beat inagonga
beat inagonga
cheki mi ndo nabonga
beat bado nasoga
fika salama kwa baba
salimia baba
cheki mi ndo nabonga
beat bado nasoga
fika salama kwa baba
salimia baba
(verse 2)
salimia baba, safisha rada
fikisha ladha, pitisha under
jaza na kapa, sitaki shaka
cheki jo rada, rada kubamba
rada kubamba, me miss kubanja
niko kusaka, hizo makapa
rada kubamba, me miss kubanja
niko kusaka, hizo makapa
we nakuchorea form we nakutolea home
we nakutolea rome mi najibashia more
moh mi najipandisha cheo
we nakutolеa roll wewe sishiki ma call
no mimi sishiki macall tuma tu text
sishiki macall ju mimi ni mimi ni
[uliza moh nafeel ni kama ni]
(chorus)
mi ni kijana ni boi
moh mi sina ngori
nachill na bеat inagonga
beat inagonga
mi kijana ni boi
moh mi sina ngori
nachill na beat inagonga
beat inagonga
cheki mi ndo nabonga
beat bado nasoga
fika salama kwa baba
salimia baba
cheki mi ndo nabonga
beat bado nasoga
fika salama kwa baba
salimia baba
(verse 3)
anapendaga nini, kucheza na mimi
kudunga ma mini, mwili ni laini
anapendaga nini, kucheza na mimi
kudunga ma mini, mwili ni laini
كلمات أغنية عشوائية
- c0nv0 - fleeting كلمات أغنية
- geolier - niente di speciale كلمات أغنية
- elvin ray - lost myself كلمات أغنية
- house of harm - feel my heart beat كلمات أغنية
- viper club - red pen - demo كلمات أغنية
- sunday drive - for tomorrow كلمات أغنية
- johnny hallyday - va t'en كلمات أغنية
- matthew spencer - crucified كلمات أغنية
- le risque - malfaiteur كلمات أغنية
- coko yamasaki - rio كلمات أغنية