mnaya gstr - face time كلمات الأغنية
intro:
mnayag: face time…
shawry anadai… face time..
feeeh…feeeh… face time…
eeii…
hook:
shawry anadai na cheat na niko mtaani na chill yeh, mpe face time
amebeba haga kwa jeans na ukicheki fiti zimefura apo juu ya waistline
warembo kila siku joh ni cycle
watu wengi huniita psycho
dame anadai kukam na hana fare
kabla nitume ingia gari face time
verse 1
face time, face time kila siku naingia kwa barz na ma fresh lines..(fresh lines fresh lines)
east side east side, jua limewaka na hatuwachi ifike wеst side…
coz..
vibe inakam thru(come thru), hatuеzi spoil tukiskiza joh ma fool.(joh ma foo)
ka huwezani baki kua fan tu, usitry ku force hii si ya kila mtu
your boo anaskiza ngoma anabaki tu bubu
sound inamteka anadai kuinua dress juu
kama sio jeep nitaroll na ma benzo
una umama mingi we ni mvulana funga leso
shughuli ya leo usiwahi fanya kesho
nikitaka kuwadharau na switch tempo
there’s a new sheriff in town na si mgentle
cheki ninakuja na ride na si rental(pooow!!)
hook:
shawry anadai na cheat na niko mtaani na chill yeh, mpe face time
amebeba haga kwa jeans na ukicheki fiti zimefura apo juu ya waistline
warembo kila siku joh ni cycle
watu wengi huniita psycho
dame anadai kukam na hana fare
kabla nitume ingia gari face time
verse 2
eeeih
jua…watu…jina…moja…si ya …watu
kata maji mnvyv tunakua watatu
suka manzi tuende nyumbani coz i have to
fika asubuhi sura ni kiatu
nitamf_kuza ikifika masaa tatu
mimi ndio na run the show
my time inakam nita glow
slow mo, n_gga nina grow
bado huna content buda unabore
ball more, mi nasaka dough
niko mining mi nachimba tu ma gold
can’t l!ck ass siezi stoop that low
ngazi ikipandwa huanzia kwa floor
international sh_t that’s how we roll
going for the k!ll assassinate the frauds
(pabooow! boow!!)
hook :
shawry anadai na cheat na niko mtaani na chill yeh, mpe face time
amebeba haga kwa jeans na ukicheki fiti zimefura apo juu ya waistline
warembo kila siku joh ni cycle
watu wengi huniita psycho
dame anadai kukam na hana fare
kabla nitume ingia gari face time
verse 3
eei eeih!!
call me dr.ring ding, beat ndio patient naitreat na beat pill
ninjaz wanabaki wanashtuka wana breeze
tunamake moves tunasonga tu na ease
pull up the song weka face time on repeat
i know you know it’s a vibe so sing(so sing)
ukitry ku hate tunakuosha izo sling..
issa summertime,lemme give you tha heat
coz daily niko hustle bro studio ama niko mjengo, mki..piga story..zangu..mi namake my money inagrow long
starehe jaba shika tools..
yangu ni guell naenda kuona peddy soon..
gstr movement songa mbele ama itabidi nimekua rude
hook:
shawry anadai na cheat na niko mtaani na chill yeh, mpe face time
amebeba haga kwa jeans na ukicheki fiti zimefura apo juu ya waistline
warembo kila siku joh ni cycle
watu wengi huniita psycho
dame anadai kukam na hana fare
kabla nitume ingia gari face time
كلمات أغنية عشوائية
- jr. rhodes - shoot! كلمات الأغنية
- micah da music - blessings كلمات الأغنية
- skribbal - fatal كلمات الأغنية
- g hannelius - staying up all night كلمات الأغنية
- dr. knobot - light, in hell, oh, world! كلمات الأغنية
- love's labour's lost: the musical - longaville’s sonnet كلمات الأغنية
- dramatik - let it go كلمات الأغنية
- breezy bri - no strings كلمات الأغنية
- maxenss - comment dormir avec ta voix dans ma tête كلمات الأغنية
- alestorm - keelhauled (acoustic) كلمات الأغنية