
mimi mars - wenge lyrics
Loading...
ua la moyo limeshachelewa
furaha yangu wewe na unajua
ninapokupenda wee
kama roho yangu
popote nitapokwenda
uwe pembeni yangu
nitapunguza wenge wenge
mmmh wenge wenge
aah wenge wenge
mmmh wenge!
nitapunguza wenge wenge
mmmh wenge wenge
aah wenge wenge
mmmh wenge, nitapunguza
najua we hupendi wakituona
twapatapo raha
nasi twaendana na wanaona
tunapendana sana
ninapokupenda wee
kama roho yangu
popote nitapokwenda
uwe pembeni yangu
nitapunguza wenge wenge
mmmh wenge wenge
aah wenge wenge
mmmh wenge!
nitapunguza wenge wenge
mmmh wenge wenge
aah wenge wenge
mmmh wenge! nitapunguza
kama nyota na mwezi
tunaridhi penzi letu
(ka mix lizer)
كلمات أغنية عشوائية
- anthemic - beaches lyrics
- humble tip - liberty university anthem lyrics
- chavis chandler - the butterfly effect lyrics
- daem write - black is black lyrics
- dnellek rose - sun wrestle lyrics
- tehosekoitin - ote irtoaa (2009) - 2009 lyrics
- thomas helmig - undskyld (jeg savner dig) lyrics
- coco jadad - giralunas lyrics
- santaflow - que vergüenza, mamá lyrics
- selvmord lyrics