
mimi mars - mua كلمات أغنية
[verse 1]
nikiwa mbali na uwepo wa macho yako
mi mgonjwa, siwezi pona
nitatulia nikikuona, ah
niwapo ubavuni mwako
nadeka kama mtoto akiwa kwa mama, aah
natulia nikikuona, aah
[pre_chorus]
tabia umenibadilisha, aah
pozi zote kwisha
jeuri ndo kabisa
nimechange, iih
nahofia ukija nichoresha
machozi, ooh, sipati picha
safari ukaikatisha
huku sijiwezi
[chorus]
najiona hodari (juu ya penzi lako)
sina habari (juu ya penzi lako)
nimeonja asali (juu ya penzi lako)
najiona mbali
najiona hodari (juu ya penzi lako)
sina habari (juu ya penzi lako)
nimeonja asali (juu ya penzi lako)
najiona mbali
[post_chorus]
mtamu kama mua, mua, mua, mua
game lako murua, murua, murua
mtamu kama mua, mua, mua, mua
game lako murua, murua, murua
[verse 2]
unavyonikanda na kunichua
we ni damu, we nikiugua
unanifanya najishebedua, aah yeah
puliza marashi, wapi mafua?
wanaopenda kudadavua
sie tunapika na kupakua, aah yeah
[bridge]
hatuna kelele
tunaendana endana
mpaka milele
tutazikana
[chorus]
najiona hodari (juu ya penzi lako)
sina habari (juu ya penzi lako)
nimeonja asali (juu ya penzi lako)
najiona mbali
[post_chorus]
mtamu kama mua, mua, mua, mua
game lako murua, murua, murua
mtamu kama mua, mua, mua, mua
game lako murua, murua, murua
كلمات أغنية عشوائية
- eso.xo.supreme - the loveless (hitlist) كلمات أغنية
- nerva - i repent كلمات أغنية
- mine - wasserburgen - live in berlin كلمات أغنية
- lege-cy - 02:00 am | اتنين بليل كلمات أغنية
- t3tri - сок (juice) كلمات أغنية
- dark sanctuary - la chute de l'ange كلمات أغنية
- machete clan - on the rark كلمات أغنية
- matt mays - howl at the night (acoustic) كلمات أغنية
- white knife study - ghosts كلمات أغنية
- гallows - я дал им это (ya dal im eto) كلمات أغنية