kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

mimi mars - hater كلمات أغنية

Loading...

[verse 1]
proud of myself
baba god amenibless
i love myself
ain’t n0body gonna stress me
proud of myself
baba god amenibless
i love myself
ila kuna watu wanahate

[pre chorus]
wee nuna
kama unakunja wee kunja
vuvula
nikuogope wewe nani
wee nuna
kama unakunja wee kunja
vuvula
nikuogope wewe nani

[chorus]
tabasamu usoni
kwa ndani, moyoni
k_mbe ni ma hater
tabasamu usoni
kwa ndani, moyoni
k_mbe ni ma hater
d_mn d_mn d_mn
d_mn d_mn d_mn
k_mbe ni ma hater
d_mn d_mn d_mn
k_mbe ni ma hater
d_mn d_mn d_mn
[verse 2]
wanakuchehea kwa face
ukiondoka wanakusema
wanakusema
k_mbe ni ma hater
hata ufanye nini
wao hawaonagi jema
hawana jema
k_mbe ni ma hater
me naishi maisha yangu
kujuana isiwe tabu
usinikate vibе
mbona unanikata vibe
me naishi maisha yangu
kujuana isiwe tabu
usinikatе vibe
mbona unanikata vibe
vibe vibe
mbona unanikata vibe
vibe vibe
mbona unanikata vibe

[pre chorus]
wee nuna
kama unakunja wee kunja
vuvula
nikuogope wewe nani
wee nuna
kama unakunja wee kunja
vuvula
nikuogope wewe nani
[chorus]
tabasamu usoni
kwa ndani, moyoni
k_mbe ni ma hater
tabasamu usoni
kwa ndani, moyoni
k_mbe ni ma hater
d_mn d_mn d_mn
d_mn d_mn d_mn
k_mbe ni ma hater
d_mn d_mn d_mn
k_mbe ni ma hater
d_mn d_mn d_mn

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغنية الشائعة حالياً

Loading...