mike t feat. mad ice - je utanipenda كلمات الأغنية
je utanipenda mi nisipong’ara?
je utanipenda mi nikiwa f-kara?
je utanipendaaa?
au ndio utanipondaa?
je utanipenda mi nisipokuwa star
siku nimechacha mi nimekosa chapaa,
je utanipendaa,
au ndio utanipondaaa?
yeh yeh yeh yeh yeh yeh,
bado nina mashaka kila kunapokucha,
hawa nilionao ipo siku wataniacha,
wametulia, wameficha makucha
nje ni binadam k-mbe ndani ni dondocha,
wananichora, kila ninachofanya,
nikiwa nao (hi), pembeni wananisonya (mscheeew)!
si waschana, (aah) si wavulana, watoto kwa wazee, mazee kwa vijana,
niko nao kila siku bega kwa bega,
hata lafudhi yangu baadhi wameshaiga,
kila sentensi mwishoni kuweka -ga,
mfano alikula nasema alikulaga,
hata siku za kazi sisi collabo,
sisi ni rap tu, hatupendi taabu,
rafiki zangu, kw-ngu ni ndugu zangu,
ndo maana nashare nao kila kilicho changu,
lakini je, tutakuwa pamoja siku mike t nikianguka moja kwa moja?
mtanihug au mtanitus? na kuniona moyoni mwenu sina nafasi?
je, mtanipa heshima kama zamani? kipindi hicho mi nang’ara jukwaani,
mapromota je mtakwenda hewani j-po kunisabahi au ndiyo bye byee??
je utanipenda mi nisipong’ara?
je utanipenda mi nikiwa f-kara?
je utanipendaaa?
au ndio utanipondaa?
je utanipenda mi nisipokuwa star
siku nimechacha mi nimekosa chapaa,
je utanipendaa,
au ndio utanipondaaa?
yah yah yah
kimapenzi mimi nawe tulikuaga kwenye hali duni,
ila tulifuata mila zote kitamaduni,
hata wazazi w-ngeniona mhuni,
ningeamua kukupata kwa njia za uchochoroni,
tulikwenda ngaz kwa ngaz,
mimi na mshenga mpaka kwenu tukakutana ngoz,
bila ajizi nikawaona wazazi,
bila kipingamizi wakasema mlango wazi,
nafurahia hivi sasa maisha ya ndoa,
hata milupo ni za zamani mi najua
mimi napenda jinsi unavyonipenda,
maneno matam unanipa kwenye kitanda,
lakini tisa, k-mi mangala
kwenye mapenzi haya najiona kama msakala,
kichwani kw-ngu maswali mia hayaishi
siku nikianguka namna gani si tutaishi?
n’na wasiwasi kama utanitenga,
sabab sijui kwa nini ulinipenda,
ni siri kali iko kwako moyoni
siwezitambua kwa kusema neno mdomoni,
kama ni penzi la kweli kw-ngu ni kheri,
kama la zari kwa mentali litupe mbali
kwani mwishoni litaleta hatari
sikuachi blank baby, hey jay
je utanipenda mi nisipong’ara?
je utanipenda mi nikiwa f-kara?
je utanipendaaa?
au ndio utanipondaa?
je utanipenda mi nisipokuwa star
siku nimechacha mi nimekosa chapaa,
je utanipendaa,
au ndio utanipondaaa?
leooo leo leooo
nataka majibu kwakooo, na ukweli wakooo
leooo leo leooo
nataka majibu kwakooo, na ukweli wakooo lady
je utanipenda mi nisipong’ara?
je utanipenda mi nikiwa f-kara?
je utanipendaaa?
au ndio utanipondaa?
je utanipenda mi nisipokuwa star
siku nimechacha mi nimekosa chapaa,
je utanipendaa,
au ndio utanipondaaa?
كلمات أغنية عشوائية
- fanny j - ma partition كلمات الأغنية
- matías roden - snow angel كلمات الأغنية
- emma - mi parli piano (new version 2021) كلمات الأغنية
- yara - يارا - hases - حاسس كلمات الأغنية
- ino_dicht - shitchat كلمات الأغنية
- asera - it follows كلمات الأغنية
- members only festival & camp - na faktach كلمات الأغنية
- hugo wolf - begegnung كلمات الأغنية
- jaisua & jeremy james whitaker - if i have u كلمات الأغنية
- 4s4ki - reinstall كلمات الأغنية