kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

micjack - unanimaliza كلمات الأغنية

Loading...

(intro)
mhh it’s kinboy just one more time nanana, mhh

(verse 1)
ati nikuite baby face, my designer
mzuri kama msomali ka mchina
nikuite cute face, ama diana
nikupe sifa zote mwanzo mpaka final, i like you girl
mwenzenu ndo nimeamini mapenzi matamu
maana nimempata anaenipatia
hata nikiwa na stress ndo wakunipa matibabu
kama dozi yani anairudia
iwe ni dimbwi dimbwi ama kisima
mwenzako ndo nimezama yani mazima
tuepuke wenye fitina fitina
wasije penzi letu yani wakalizima
(bridge)
kiukweli umeniweza my bettie
ushanipiga mpaka kwenye karate
mwenzako nimеzama yani nisha_dead akili ime_stop imezima yani low battеry
kiukweli umeniwezaga (my bettie)
ushanipiga mpaka kwenye karate
mwenzako nimezama yani nisha_dead akili ime_stop imezima yani low battery (ye yeye)

(chorus)
unanimaliza ah baby unanimaliza (ye yeye)
unanimaliza mopeo awh baby unanimaliza (ye yeye)
ah unanimaliza oh my girl baby unanimaliza (ye yeye)
unanimaliza mopeo oh baby unanimaliza (ye yeye)
unanimaliza oh my girl baby unanimaliza (ye yeye)
unanimaliza mopeo oh baby unanimaliza (ye yeye)

(verse 2)
ah sweetie sweetie sweetie, mapenzi yashapata tuzo bet bet ye
zile kwichi kwichi kwichi, michezo ya chumbani mambo ya gidi gidi ye
unanifanya mpaka nina_lose all my mind, sometimes nahisi umezama deep in my heart
oh my baby boo oh my baby girl, we ni zawadi nimepewa gift of my life
kwengine hata sioni mi kipofu yani blind
wengine sa wa nini we ndo ubavu w_ngu wa dhati
oh my baby zuuh, baby jackie chan
mtundu chenga messi, ronaldinho, van dijik
(bridge)
kiukweli umeniweza my bettie
ushanipiga mpaka kwenye karate
mwenzako nimezama yani nisha_dead akili ime_stop imezima yani low battery
kiukweli umeniwezaga (my bettie)
ushanipiga mpaka kwenye karate
mwenzako nimezama yani nisha_dead akili ime_stop imezima yani low battery (ye yeye)

(chorus)
unanimaliza ah baby unanimaliza (ye yeye)
unanimaliza mopeo awh baby unanimaliza (ye yeye)
ah unanimaliza oh my girl baby unanimaliza (ye yeye)
unanimaliza mopeo oh baby unanimaliza (ye yeye)
unanimaliza oh my girl baby unanimaliza (ye yeye)
unanimaliza mopeo oh baby unanimaliza (ye yeye)

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...