
michael magow - sipotei كلمات أغنية
heeey
haah
ooh
oooh
big magow you already know wtf goin on
hata kama sina kitu lakini bado sipotei
aah
kwenye life sipotei
sihitaji mixed feelings
mixed feelings
aah
hata kama siongei
uliongea sh_t why you call me sipokei
uliongea sh_t why you call me sipokei
mitaa inaelewa what you tryna say
hata kama jua kali still got different ways
ulisema mwana ila siku hizi hutokei
kama mwanangu why you change
why you changin on me
n_gga why you change on me
i see you put a blame on me
i bin on the street get money like im pose to be
mishe kila kona mi na grind what they want from me
early in the morning mi nawasha get my mind ready
nipo kwenye marathon
mama told me stay strong
lifе is like a jungle
really im at thе war zone
nipo na wanangu halafu hatuitaji vikwazo
habari zao hatuna ila habari zetu wanazo
we bin on some sh_t ila hatuitaji mawazo
we can not complain tunashukuru tukipata
j_pokua kwenye life bado kuna utata
we dont fear n0body halafu wanangu wote shooters
hata nkiwa mtaani sehemu flani utanikuta
hata nkiwa mtaani sehem flani utanikuta
hata kama sina kitu lakini bado sipotei
aah
kwenye life sipotei
sihitaji mixed feelings
mixed feelings
aah
hata kama siongei
uliongea sh_t why you call me sipokei
uliongea sh_t why you call me sipokei
mitaa inaelewa what you tryna say
hata kama jua kali still got different ways
ulisema mwana ila siku hizi hutokei
kama mwanangu why you change
why you changin on me
eh kama mwanangu why you changed on me
ah
eli
i see you
كلمات أغنية عشوائية
- sk8 - brand brand new كلمات أغنية
- shawn lee's ping pong orchestra - under the sun كلمات أغنية
- herren - brennst du? كلمات أغنية
- krispylife kidd - understand the spice كلمات أغنية
- да ст & джигли (da st & jigli) - дым (smoke) كلمات أغنية
- the afghan whigs - domino and jimmy كلمات أغنية
- bon voyage organisation - mirage sur le nil كلمات أغنية
- krucifix klan - drop it off yo ass كلمات أغنية
- prettyspookyghost - 4kmelonberry كلمات أغنية
- j o e (rap) - shine كلمات أغنية