kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

mercylinah - wa ajabu كلمات الأغنية

Loading...

ewe mungu wa miungu, ume tukuka,
muumbaji wa vyote duniani na mbingu, tunaa kuinamiya x2

wa ajabu wewe wa ajabu x2
mfalme wa wafalme, mwenye enzi tunakuabudu

utukufu na heshima, kwako eeh we mungu,
pia nguvu na shukrani, kwako ewe mungu x2

wa ajabu wewe wa ajabu x2
mfalme wa wafalme, mwenye enzi tunakuabudu

mtakatifu mwaminifu, tunakuinamia,
el-shaddai…. adonai…, alfa na omega x2

wa ajabu wewe wa ajabu x2
mfalme wa wafalme, mwenye enzi tunakuabudu

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...