mercy walker & billionaire effect - roho yangu na ikuinue كلمات الأغنية
bwana mungu nashangaa kabisa,
nikifikiri jinsi ulivyo,
nyota, ngurumo, vitu vyote pia,
viumbavyo kwa uwezo wako.
roho yangu na ikuimbie,
jinsi wewe ulivyo mkuu,
roho yangu na ikuimbie,
jinsi wewe ulivyo mkuu.
nikitembea pote duniani,
ndege huimba nawasikia,
milima hupendeza macho sana,
upepo nao nafurahia.
roho yangu na ikuimbie,
jinsi wewe ulivyo mkuu,
roho yangu na ikuimbie,
jinsi wewe ulivyo mkuu.
nikik_mbuka vile wewe mungu,
ulivyompeleka mwanao,
afe azichukue dhambi zetu,
kuyatambua ni vigumu mno.
roho yangu na ikuimbie,
jinsi wewe ulivyo mkuu,
roho yangu na ikuimbie,
jinsi wewe ulivyo mkuu.
yesu mwokozi atakaporudi,
kunichukua kwenda mbinguni,
nitaimba sifa zako milele,
wote wajue jinsi ulivyo.
roho yangu na ikuimbie,
jinsi wewe ulivyo mkuu,
roho yangu na ikuimbie,
jinsi wewe ulivyo mkuu.
roho yangu na ikuimbie,
jinsi wewe ulivyo mkuu,
roho yangu na ikuimbie,
jinsi wewe ulivyo mkuu.
كلمات أغنية عشوائية
- dree low - the team كلمات الأغنية
- scrop - shhh كلمات الأغنية
- pejotfromshoe - emocje كلمات الأغنية
- mohsen namjoo - akhtarakam كلمات الأغنية
- proof lineaz muertaz - serpiente كلمات الأغنية
- fofoprod - how you get down كلمات الأغنية
- flexahh - the light كلمات الأغنية
- nate flud - drift away كلمات الأغنية
- the mills - lovely كلمات الأغنية
- last summer - moment كلمات الأغنية