kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

mercy masika - nikupendeze كلمات الأغنية

Loading...

oh…
oooh yeah…
yeaaaah…
oh ooh uui.
(still alive)

mienendo yangu na tabia zangu zikupendeze
kuvaa kw-ngu na kunena kw-ngu kukupendeze
mienendo yangu na tabia zangu zikupendeze
kuvaa kw-ngu na kunena kw-ngu… naomba ah.

nifanane nawe yesu niwe jinzi upendavyox2
niguze nifinyage unibeebe
niunde nitengeneze niwe kama wewe

nikupendeze
mm ah…
nikupendeze
mhmmm…
nikupendeze
eee…
nikupendeze
mhmm mm…

familia yangu marafiki zangu tuwe sawa nawe
biashara zangu kila kitu changu kiwe sawa nawe
familia yangu marafiki zangu tuwe sawa nawe
biashara zangu kila kitu changu kiwe sawa nawe ee

niguze nifinyage unibeebe
niunde nitengeneze niwe kama wewe x2

nikupendeze
ee baba ah maishani mw-ngu…
nikupendeze
ee baba familia yangu…
nikupendeze
oh baba yeah yea…
nikupendeze
baba mienendo yangu…

oh yea yea…
nifanane nawe yesu niwe jinzi upendavyo
niunde nitengeneze niwe kama we we

nikupendeze
oh nikupendeze…
nikupendeze
eiye katika mienendo yangu…
nikupendeze
aah niwe sawa nawe…
nikupendeze
woye woye woye woye nitembee nawe…
nikupendeze
baba baba kwa kunena kw-ngu…
nikupendeze
hoye baba natamani sana.
nikupendeze
woye baba nakupenda sana…
nikupendeze
natamani sana nikupendeze…

kwa kunene kw-ngu
kutembea kw-ngu
oh niamkapo baba
wacha nikupendeze

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...