
mercy masika - fungua macho كلمات أغنية
Loading...
wateule
tulioweka imani kwa yule
aliyetufia
wateule
tulioweka imani kwa yule
aliyetufia
sauti ya shaka, sauti yasema
hatutasimama, hatutaendelea
na sisi twasema, tutasimama
mungu yuko upande wetu
mkristo simama!
fungua macho
uone jeshi la malaika
limetuzingira
fungua macho
uone jeshi la malaika
tutashinda vita
wateule
tunaomuishia yule, anayetupenda
wateule
tunaomuishia yule, anayetupenda
mawazo ya shaka, mawazo yasema
hatutashinda, hatutaendelea
na sisi twasema, tutashinda
mungu yuko upande wetu
tutasimama!
كلمات أغنية عشوائية
- frvr&alwys - crash كلمات أغنية
- morenzo lorra - more enzo كلمات أغنية
- timon - one for me كلمات أغنية
- kill bill: the rapper - donotdisturb كلمات أغنية
- 黒澤ルビィ (ruby kurosawa) - landing action yeah!! (kurosawa ruby solo ver.) كلمات أغنية
- elhae - fomo كلمات أغنية
- mi capitán - yo, bitch كلمات أغنية
- nathan3x - before i pass كلمات أغنية
- imt smile - miesto كلمات أغنية
- steve chapman - be ready كلمات أغنية