
mejja - siskii كلمات أغنية
[intro]
okwonko, yeah
(mavo on the beat)
[chorus]
siskii, siskii, siskii
niliambiwa nimuache siskii
kamote, kamote, kamote
pengting ameniseti kamote
[verse 1]
mbele ya watu ni mpole, very calm
lakini looks are deceiving, usitake k_muona ka amejam (ayy)
dodge dodge, dodge sahani, dodge hepa, dodge vikombe
dodge “mboch! ita ma_souldier”
pengting anataka kuniua, ah aki babe utaniua “sijali”
babe si upunguze kisirani, unachoma picha kwa jirani
“i don’t care”
[chorus]
siskii, siskii, siskii
niliambiwa nimuache siskii
kamote, kamote, kamote
pengting ameniseti kamote
[verse 2]
manzi yangu yе’ ni boxer, anajua mpaka kung_fu
nimeshindwa k_mtoka ye’ ni kichwa ngumu
manzi yako anakaaga mpolе (_laughter_) usifanye mi nicheke
baby face isikuingize, huyu ni stima, huyu ni nare
juzi nilimuambia simtaki, akaanza kisirani
“nitajiua, nitakunywa harpic”
nikamrudia ju ya ku_panic, ayy
[chorus]
siskii, siskii, siskii
niliambiwa nimuache siskii
kamote, kamote, kamote
pengting ameniseti kamote
[verse 3]
martha anataka nimuache
maboyz wanataka nimsare
mpaka number yake nime_block, adi ig n’takushow
alipiga na number sijuii, ki_undani nikaskia nimefurahi
kidogo nikaskia amedai “aki babe, nataka kukuona one, last, time”
akakuja amevaa mini, akanichanganisha akili, nikamnyandua tukarudiana (ayy)
[chorus]
siskii, siskii, siskii
niliambiwa nimuache siskii
kamote, kamote, kamote
pengting ameniseti kamote
كلمات أغنية عشوائية
- lucy kaplansky - somebody's home كلمات أغنية
- joe south - motherless children كلمات أغنية
- headline - momma i made it كلمات أغنية
- lightnin' hopkins - it's a sin to be rich, it's a low-down shame to be poor كلمات أغنية
- huski - undatow كلمات أغنية
- ngu - up كلمات أغنية
- the supremes - love is in our hearts كلمات أغنية
- eric papilaya - get a life - get alive كلمات أغنية
- monica casagrande - segundo ato do novo كلمات أغنية
- the hollies - kill me quick كلمات أغنية