kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

mejja - siku hizi ni ku bad كلمات الأغنية

Loading...

[intro]
okonkwo
yeah, chrome
yo

[verse 1]
siku hizi binadamu na wagwaya
hawa wawili walikuwa wanapendana, kushikana, wakichinjiana
nimeona kwa news, ayy, walichinjana
manze, dunia inaenda wapi?
mandugu wanauana ju ya mali
siku hizi pesa thicker than blood
beef ndani ya family ni bomboclat
story ya mabeshte weka kando
kwanza mabeshte a1 kaa ritho
mabeste, hiyo ndio kikulacho
utakuta beshte yako ndio alikula bibi yako
[chorus]
ndio maana mi hukaa pekee yangu tu
kwa corner na pombe yangu tu
story, ya mbogi, ah, ah
dunia balaa, ayy
siku hizi ni kubad, bad, bad, bad, bad, bad, bad
manze so sad (manze so sad)
watu wengine ni ma_mbwakni
siku hizi ni kubad, bad, bad, bad, bad, bad, bad
manze so sad (manze so sad)
watu wengine ni ma mbwakni

[verse 2]
bishop, anaishi karen, wafuasi wake kayole
anataka sadaka mchange
wafuasi wake ju ya mawe
siku hizi sielewi hosi, mbona ulipe parking hosi?
manze hawajali ju ya wagonjwa, hosi zingine zimeoza
juzi manzi yangu aliniambia, “babe naеnda trip naivasha”
akapiga picha na subaru, hapo nikajua nimerushwa manzi yangu

[chorus]
ndio maana mi hukaa pekee yangu tu
kwa corner na pombе yangu tu
story, ya mbogi, ah, ah
dunia balaa, ayy
siku hizi ni kubad, bad, bad, bad, bad, bad, bad
manze so sad
watu wengine ni ma_mbwakni
siku hizi ni kubad, bad, bad, bad, bad, bad, bad
manze so sad
watu wengine ni ma mbwakni

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...