
mch. abiudi misholi - twende juu sayuni كلمات أغنية
[instrumental intro]
[pre_chorus]
twende juu sayuni, twende juu sayuni, twende juu sayuni, mji wake bwana, twende
twende juu sayuni, (mama), twende juu sayuni, (baba yangu), twende juu sayuni (mji), mji wake bwana
[chorus repeat]
twende juu sayuni, twende juu sayuni, twende juu sayuni, mji wake bwana, twende
twende juu sayuni, (mama), twende juu sayuni, (baba yangu), twende juu sayuni (mji), mji wake bwana
[interlude]
wimbo huu, nimekuja kuwak_mbusha wa tanzania na watu wote duniani, ya kwamba tuna safari mbili; iko safari moja, ambayo wenyeji wao ni jehanamu ya moto, na iko safari ya pili, ambayo wenyeji wetu ni mbinguni
dunia sasa imeharibika, hata injili ya siku za mwisho imeharibika, na watu wеngi wamekwisha acha kufundishwa mambo ya msingi, yatakayo wasaidia kuurithi mji wa milele na makao yеtu ya milele
wamebaki na injili za mafanikio, injili za baraka, hku watu wamejaa tabia mbaya
wana ndoa nyingi, uongo, wizi, tamaa, wivu, na injili yao imekuwa ni k_miliki dunia na kutawala na kujenga vitu vingi vya thamani, na kusahau yale mambo ya msingi ndani ya mioyo yao, nimek_mbuka wale wazee wa zamani, walipokuwa wakiziimba nyimbo hizi, wakijua ya kwamba j_pokuwa wanaishi duniani, lakini siku moja watafika juu sayuni, nataka nikuambie mama yangu na baba yangu, unaye sikiliza nyimbo huu sasa saa hii, hapo ulipo, kama ulisahau na unaishi maisha ya mchanganyo, ujue ya kwamba yesu kristo si muda mrefu atarudi, atanyakua watu wake, walio watakatifu, atapaa ataenda nao juu mbinguni, hebu ngoja nikualike kwenye wimbo huu, ya kwamba twende juu sayuni, uwe tayari miongoni mwa maelfu, watakao nyakuliwa kwenda mbinguni, siku ile bwana yesu akija, nawe upae kwenda juu sayuni, kwa jina la yesu
[chorus]
twende juu sayuni, twende juu sayuni, twende juu sayuni, mji wake bwana, twende
twende juu sayuni, (mama), twende juu sayuni, (baba yangu), twende juu sayuni (mji), mji wake bwana
[verse 1: abiudi misholi]
usishikwe na dunia, usishikwe nazo dhambi
tubu hayo yote, tuende sayuni, twende
[pre_chorus]
twende juu sayuni, (baba), twende juu sayuni, (halleluyah), twende juu sayuni, mji wake bwana
[verse 2]
twende makahaba, twende na wachawi, muache dhambi zenu, twende kwa bwana, twende
[chorus]
twende juu sayuni, twende juu sayuni,, twende juu sayuni, mji wake bwana
[verse 3]
twende na wa_kongo, twende na rwanda, twende na wa_kenya, mji wake bwana, twende
[chorus]
twende juu sayuni, twende juu sayuni, twende juu sayuni, mji wake bwana
[verse 4]
biashara zisikusonge, mambo ya dunia, yakakufanya na kukuzuia, usiende kwa baba, twende
[chorus]
twende juu sayuni, twende juu sayuni, twende juu sayuni, mji wake bwana
[verse 4]
ah…, wakina baba, nawaombea watoto wetu, ‘ah, twende juu sayuni, mji wake bwana, twende
[chorus]
twende juu sayuni, twende juu sayuni, twende juu sayuni, mji wake bwana
[post_chorus]
tutaimba halleluyah, tutaimba halleluyah, tutaimba halleluyah, milele na bwana, tutaimba halleluyah,tutaimba halleluyah, tutaimba halleluyah, milele na bwana, tutaimba halleluyah, tutaimba halleluyah, tutaimba halleluyah, milele na bwana
[outro]
tutaimba halleluyah, tutaimba halleluyah, tutaimba halleluyah, milele na bwana
كلمات أغنية عشوائية
- garrett clayton & maddie baillio - it takes two كلمات أغنية
- vnm feat. cywinsky - z aftera na bifor كلمات أغنية
- seguimos perdiendo - el alcohol es mas fuerte كلمات أغنية
- fred chapellier - a silent room كلمات أغنية
- medj money - 41/53 dope seller كلمات أغنية
- until the end of october - empires كلمات أغنية
- jean sablon - sur le pont d'avignon كلمات أغنية
- 湯薇恩 - 愛情風險 كلمات أغنية
- あゆみくりかまき - 弾進good!!! كلمات أغنية
- vibes brasil feat. ana gabriela vibes - medo bobo كلمات أغنية