
mch. abiudi misholi - moyo wangu wazi كلمات أغنية
[intro]
biblia inasema katika methali 28 na ule mstari wa 13, afichaye dhambi zake hatafanikiwa, bali yule anaye zitubu atapata rehema
ujue moyo wako uko wazi mbele za bwana
bwana mungu akusaidie, bwana mungu anisaidie, halleluyah
[pre_chorus]
moyo w_ngu u wazi, moyo w_ngu u wazi
nipo hapa, niguse bwana, moyo w_ngu wazi, moyo w_ngu u wazi, moyo w_ngu u wazi, moyo w_ngu u wazi, nipo hapa, niguse bwana, moyo w_ngu wazi
[verse 1]
eh, nafsi yangu hebu nisikilize, kwa nini ujifiche mbele za mungu?
upo hapa, lazima ujue, moyo w_ngu wazi
uende wapi eh, ‘nafsi yangu, ujiepushe na macho ya mungu?
iwe gizani, uzame baharini, bado mungu atakuona
wachungaji wenzangu nanyi nisikieni, kazi ya mungu ifanyeni kwa ukweli, yesu amesema leo niwak_mbushe, yu aja na mawingu
waimbaji rafiki nanyi nisikieni, ‘viburi, tamaa, mashindano, acheni
mbinguni wapenzi hatuendi kwa umaarufu, ni utakatifu tu, moyo w_ngu u wazi
[chorus]
moyo w_ngu u wazi, (moyo w_ngu), moyo w_ngu u wazi, (nipo hapa), nipo hapa, niguse bwana, moyo w_ngu wazi, moyo w_ngu u wazi, (moyo w_ngu, baba), moyo w_ngu u wazi (nipo hapa), nipo hapa, niguse bwana, moyo w_ngu wazi
[interlude: abiudi misholi]
ndugu msikilizaji unaye nisikiliza sehemu yeyote ulipo, unaweza ukawa unafanya mambo mengi mabaya, kana kwamba mungu hakuoni na wala hakutambui, lakini nataka niseme kwamba, hapo ulipo na dakika hii unapo sikia, mungu yupo anakutazama, moyo wako ni wazi, na wala huwezi k_mtisha mungu kwa lolote, unaweza ukawa umejificha kanisani (moyo w_ngu wazi), na watu wengi wanadhani kwamba unaendelea mbele, k_mbe ulishakwisha iacha njia, nataka niseme neno moja (moyo w_ngu u wazi), ya kwamba si muda mrefu tutafika katika bonde la kukata maneno, na habari ya kila mtu itajulikana, ya kwamba alikuwa wa mungu au la (nipo hapa), unyakuo ni bonde la kukata maneno, hapo yesu kristo atakapo kuja, akawachukua watu wake, na wewe utakapo baki, ndipo aibu yako itakapo onekana, k_mbe mchungaji ulikuwa hujaokoka, k_mbe binti ulikuwa hujaokoka, lakini abiudi leo nimeimba, mi moyo w_ngu ni wazi
sijui kama wewe, moyo wako umeuficha (moyo w_ngu wazi), mi nimemuambia mungu niko hapa, niguse bwana, nifinyange, nitengeneze (nipo hapa), utaendelea na ujanja, janja mpaka lini, unatenda kwa siri (niguse bwana), leo bwana kaniambia ni kuambie ‘moyo wako ni wazi (moyo w_ngu wazi), lakini sijaja kwa ajili ya kukuhuk_mu, lla nimekuja ili nikuambie ya kwamba, uirekebishe njia yako, maana bwana anakuja na mawingu, natamani siku atakaporudi, sote tukamuone na k_mlaki, katika jina la yesu mungu akubariki, mungu akutetee, mungu akufinyange upya, kwa damu ya yesu kristo, amen
كلمات أغنية عشوائية
- sim dane - ms. jackson formula 1 remix ('20 eifel gp) كلمات أغنية
- g. deep - h.o.f. كلمات أغنية
- mirs xxx pprinz - ты не даёшь мне {you don't give me] كلمات أغنية
- ryan tarbutton - finding fossils at the beach كلمات أغنية
- cathcart - over the moon/casual كلمات أغنية
- cresspo castellano - salvatore ferragamo كلمات أغنية
- goa - caer (cd version) كلمات أغنية
- mad maggie - little devil كلمات أغنية
- zj mission - prologue كلمات أغنية
- jack trouble - be the one? (4 u) كلمات أغنية